Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamepata inflation kama ya Zimbabwe kwahiyo usd ina thamani kubwa sana kwasasa kwasababu hela yao imepoteza thamani.Mkuu acha bana yaaani laki mbili ya bongo uende ukaishi kifalme Iran , unataka kusema iran imekua masikin kiasi hicho , acha kujidanganya
Ona bei za hotel hii inaitwa Nikom court hotel iko TehranWamepata inflation kama ya Zimbabwe kwahiyo usd ina thamani kubwa sana kwasasa kwasababu hela yao imepoteza thamani.
Huyo sisi ndio tunamjua,lengo la thd yake sio kabisa kama ulivyoelewa wewe,wala haihitaji akili kubwa kutambua lengo la mleta mada.Lakini kwanini ninyi ni watu wa shari sana?
Mbona jamaa aneuliza swali zuri tu?
Je unajua usd 1=42,350 Iranian rial?
Kafiri huna hoja umebaki kurukaruka tu kama Kuku aliyekatwa kichwa kisha akaachiwa ghafla.Kwahiyo wewe uliandaa begi ukaenda ndio wakakufukua mtaro watu wa Iran?
Wewe kafiri kama unaona unatishwa basi endelea kuamini hivyo,Nyie watoto mmefundishwa vitisho madrassa huko mnaanza kuvileta na huku. Inaonesha shehe alikunajisi utotoni maana unawashwa sana.
Wewe acha kiherehere, unafuatilia wanaume umekuwa kahaba? Ukiona huna jibu la swali unapita kimya sio kuleta ujuaji wa kijinga.
Uchizi ulio nao ni mkubwa kupitilizaWewe nawe una kiherehere sana. Huoni umuhimu wa hilo swali? Akili yako ipeleke gereji maana itakuwa imejazwa aya za ujingaujinga.
Huwa haukosi Cha kuiponda Iran eti maisha ya iran magumu km hyo Dola 100 hauwezi kuishi kifalme Tanzania ndio ukaishi Iran wakati uchumi wa Tanzania hata uuzidishe mara 20 hufiki iran
Yeye na wewe mtakuwa makapuku,laki 230,000 ndio zitakusaidia nini? Hata kama kwao ni 500k hamna kitu..Naomba mnisaidie kama taarifa hizi ni za ukweli maana huyu jamaa anasema nikifika Tehran na usd 100 nitaishi kifalme kwasababu hela yao imepoteza thamani na maisha yamekuwa magumu sana kutokana na vikwazo vya magharibi.
Takwimu ziko wapi?Iran ndio inaongoza kuidai Tanzania pesa ndefu za mkopo
Si huwa mnaambiana hayo mambo yapo Us, kumbe na waajemi nao ni wafiraji.Halafu wale janaa si wana asili ya kiarabu?
Kama ni hivyo basi ndugu yako kifiro kinamuita
ChaiNaomba mnisaidie kama taarifa hizi ni za ukweli maana huyu jamaa anasema nikifika Tehran na usd 100 nitaishi kifalme kwasababu hela yao imepoteza thamani na maisha yamekuwa magumu sana kutokana na vikwazo vya magharibi.
Ma basha bongo wameisha, ?Kumbe unaweza kuwa ni mtego jamaa anautega?
Chai hajanywa , achilia mbali nauli hio dola 100 enyewe sidhani kama anayo😹Nenda ukauzwe..sidhani hata nauli unayo.
Takwimu ziko wapi?
Hizi ndio Nchi za kuwa marafiki sio wapumbavu wa Russia.
Thamani ya pesa haihusiani na uchumi mkuu.Huwa haukosi Cha kuiponda Iran eti maisha ya iran magumu km hyo Dola 100 hauwezi kuishi kifalme Tanzania ndio ukaishi Iran wakati uchumi wa Tanzania hata uuzidishe mara 20 hufiki iran