Jamaa yangu ameomba mchango wa kufanya birthday party

Jamaa yangu ameomba mchango wa kufanya birthday party

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Imajini watu tunagongea hadi vocha za simu halafu kuna bwege mmoja anafanya kazi na kujiita mwanasheria halafu anatuma msg anataka mchango wa birthday yake mwezi ujao.

Huyu jamaa ni hasara taslimu. Yaani kuzaliwa kwake yeye iwe kero kwa wengine? Na mimi toka azaliwe sijaona faida yake kwangu. Leo tena sina kazi eti nimchangie birthday yake?

Halafu muanze kusema sisi wengine wakorofi. Nmemtukana sana...sana.mpaka ametuma emojis za kuonesha analia. Nikamwambia angekuwa karibu ningemfanya kitu kibaya sana. Bwege, Fala, Majnusi,Laana Khum, Khalmatus, Zebwe kabisa.

Hawa watu wa namna hii ni bora wangefanywa mbolea tu watumike kukuzia hata mboga mboga sisi tule maana ni wapuuzi sana.
 
Huu ujinga wa siku hizi wa kupenda kuchangiwa sherehe sijui nani ameanzisha.Turudi kwenye misingi yetu.Kila mwenye kutaka kufanya shughuli yake ajipange kwa fedha,vyakula na mambo yote yahusuyo hiyo shughuli yake.Anapaswa atualike tu tujumuike naye kumpongeza.Siyo kuchangishana hovyohovyo tu.Tutavunja urafiki au udugu kwa "mamichango" ya hovyo.
 
Aisee achana na birthday mimi kuna mshkaji anaomba nimchangie mahari [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si kila umuonaye yuko smart ni kwamba mzima kichwani.

FB_IMG_1633926011211.jpg
 
Watu wa Hii Dini yetu wamekariri Vibaya sana,Kila kitu lazima Michango Mtu Hakai Akajipanga mwenyewee!! Yaani Jitu linapiga bajeti ya Harusi kumbe Linategemea michango
 
Mahari ni sawa kabisa. Mshike mkono boss. Kumsaidia MTU kupata familia ni jambo LA kheri.
Mahari ni jukumu la Baba yako mzazi, na kama hana uwezo ni jukumu lako na kama huna uwezo ni wajibu wa mwenza wako kutaja mahari ndogo kwa sababu hiyo siyo biashara.

Kwa waislamu mahari yaweza kuwa hata msahafu tu.
 
Birthday inachangiwa tangu lini? Kwanza hayo ni mambo ya wanawake, mwanaume kujishughurisha na mambo ya birthday ni lazima utakuwa na walakini kichwani.
Nimeunganisha dots kwa maelezo yako na pale mtoa thread aliposema baada ya kumsema jamaa akatuma emoji za kulia hapo nikagundua walakini mkubwa sana kwa jamaa wa birthday.
 
Imajini watu tunagongea hadi vocha za simu halafu kuna bwege mmoja anafanya kazi na kujiita mwanasheria halafu anatuma msg anataka mchango wa birthday yake mwezi ujao.

Huyu jamaa ni hasara taslimu. Yaani kuzaliwa kwake yeye iwe kero kwa wengine? Na mimi toka azaliwe sijaona faida yake kwangu. Leo tena sina kazi eti nimchangie birthday yake?

Halafu muanze kusema sisi wengine wakorofi. Nmemtukana sana...sana.mpaka ametuma emojis za kuonesha analia. Nikamwambia angekuwa karibu ningemfanya kitu kibaya sana. Bwege, Fala, Majnusi,Laana Khum, Khalmatus, Zebwe kabisa.

Hawa watu wa namna hii ni bora wangefanywa mbolea tu watumike kukuzia hata mboga mboga sisi tule maana ni wapuuzi sana.
Mkuu naona wengi hawajafungua CODES zako.
Morrison aka Mwanasheria Msomi kupitia tiktok ametupia ujumbe kuwa yuko na Birthday yake, badala ya kumwagiwa maji na kupigiwa simu za wishes just tuma buku tu akaweka na namba. Kinachoendelea wabongo wanampigia simu na wanaishia kupigwa vichekesho na matus ya rejareja tu. Anyway jamaaa ni comedian tu tuache kumchukia kihiiiiiivyo.
 
Hivi mtoto wa kiume unaanzaje kusherehekea birthday??dah wanaume kamili tunazidi kutoweka katika uso wa dunia
Nimemkumbuka Yule mchezaji WA zamani WA man city, yaya toure, eti alikasirika kisa mabosi wake hawakuhudhuria wala kusema lolote katika birthday yake.......nikajisemea hili jamaa Fala kweli, limetoka afrika Huku na kubahatika kufika ulaya kutengeneza fedha halafu linaleta ujinga WA namna hii mama'e zake na limwili lote lile!!! Birthday ndo nini?!!!!!
 
Back
Top Bottom