Jamaa yangu ameomba mchango wa kufanya birthday party

Jamaa yangu ameomba mchango wa kufanya birthday party

Birthday inachangiwa tangu lini? Kwanza hayo ni mambo ya wanawake, mwanaume kujishughurisha na mambo ya birthday ni lazima utakuwa na walakini kichwani.
Labda mboga mboga huyo.
 
Wewe afadhali huyo anakujua
Wapo wale wanaozunguka madukani na kuomba michango wanafuatana watatu au wanne
Utafikiri TRA kumbe washenzi fulani
Kila kukicha wao ni kubuni kuomba mara arusi mara kilio mara mchango wa hospitali
Haya mambo yako kwa masikini tu
 
Kama ni rafiki yako basi na wewe unatakiwa ujitafakari. Show me ur friends i will tell you who your.
 
Umenikumbusha kuna ndugu yangu Ali ni add kwenye group linaitwa "Michango ya birthday"

Yule ndugu yangu nilikua na namba yake ambayo haipo whasap sasa alipo ni add kwenye hilo group lake sikumfaham kuwa ni yeye.. yule dada tunaheshimiana sana.

Nilipoona nimeungwa kwenye hilo group, nilimporomoshea matusi mazito , sjui unayaelewa matusi mazito? Mwisho nikamwambia ni remove haraka sana kabla sijajiondoa mwenyewe.

Aliniondoa akaniomba msamaha alafu akanipigia ndo nikajua kumbe ni mtu flan.. tulkua tunaheshmiana sana nikafikiria yale matus nilio mtukana nikamuomba radhi.

Lakin yule dada yangu hatorudia tena ujinga ule kwangu
 
Huu ujinga wa siku hizi wa kupenda kuchangiwa sherehe sijui nani ameanzisha.Turudi kwenye misingi yetu.Kila mwenye kutaka kufanya shughuli yake ajipange kwa fedha,vyakula na mambo yote yahusuyo hiyo shughuli yake.Anapaswa atualike tu tujumuike naye kumpongeza.Siyo kuchangishana hovyohovyo tu.Tutavunja urafiki au udugu kwa "mamichango" ya hovyo.
Huu ndio ukweli, umenena vyema. Yapo mambo mengine ni ya kibinafsi zaidi kuliko kijumuiya. Unafanya ubatizo wa mwanao ana umri wa siku saba unatutaka tukuchangie! Besidei yako ya miaka 59 pia tukuchangie ilhali ukifikisha miaka 60 na kuweka kiinua mgongo chako mfukoni unapotea jumla. Kweli kila mmoja wetu ajipange vyema katika shughuli binafsi kama hizi.
 
Umenikumbusha kuna ndugu yangu Ali ni add kwenye group linaitwa "Michango ya birthday"

Yule ndugu yangu nilikua na namba yake ambayo haipo whasap sasa alipo ni add kwenye hilo group lake sikumfaham kuwa ni yeye.. yule dada tunaheshimiana sana.

Nilipoona nimeungwa kwenye hilo group, nilimporomoshea matusi mazito , sjui unayaelewa matusi mazito? Mwisho nikamwambia ni remove haraka sana kabla sijajiondoa mwenyewe.

Aliniondoa akaniomba msamaha alafu akanipigia ndo nikajua kumbe ni mtu flan.. tulkua tunaheshmiana sana nikafikiria yale matus nilio mtukana nikamuomba radhi.

Lakin yule dada yangu hatorudia tena ujinga ule kwangu
Ulipanick bure tu, hapo alikuhadd kama sponsor, yani hao birthday zao wewe unafadhiri keki tu buku 20 salon, gauni na kreti mbili za bia Shughuri imekwisha, unawagonga wote mmoja baada ya mwingine.
 
Mtoa mada nina wasiwasi na wewe,hapo inaonesha kuna mahusiano flani yasio faa.Moja birthday mwanaume,pili akatuma emoji za kulia,sisi ma alwatani wa mujini tushaona nini kilikuwa kinaendelea
 
Huitaji kutoa maneno yote hayo na matusi kisa umeombwa mchango.ungepiga kimya tu labda kama Kuna issue ya msingi sana ya kuandika humu. Anyway naheshimu uhuru wako wa kufanya chochote.
 
Mahari ni jukumu la Baba yako mzazi, na kama hana uwezo ni jukumu lako na kama huna uwezo ni wajibu wa mwenza wako kutaja mahari ndogo kwa sababu hiyo siyo biashara.

Kwa waislamu mahari yaweza kuwa hata msahafu tu.
Sipingani na mawazo yako mkuu,ila tunaangalia kati ya mchango wa harusi/ besidei na mahari kipi chenye mantiki japo kidg
 
Wewe Dini yenu ni ipi?
Watu wa Hii Dini yetu wamekariri Vibaya sana,Kila kitu lazima Michango Mtu Hakai Akajipanga mwenyewee!! Yaani Jitu linapiga bajeti ya Harusi kumbe Linategemea michango
 
Imajini watu tunagongea hadi vocha za simu halafu kuna bwege mmoja anafanya kazi na kujiita mwanasheria halafu anatuma msg anataka mchango wa birthday yake mwezi ujao.

Huyu jamaa ni hasara taslimu. Yaani kuzaliwa kwake yeye iwe kero kwa wengine? Na mimi toka azaliwe sijaona faida yake kwangu. Leo tena sina kazi eti nimchangie birthday yake?

Halafu muanze kusema sisi wengine wakorofi. Nmemtukana sana...sana.mpaka ametuma emojis za kuonesha analia. Nikamwambia angekuwa karibu ningemfanya kitu kibaya sana. Bwege, Fala, Majnusi,Laana Khum, Khalmatus, Zebwe kabisa.

Hawa watu wa namna hii ni bora wangefanywa mbolea tu watumike kukuzia hata mboga mboga sisi tule maana ni wapuuzi sana.
kuna watu kwenye maisha unaweza kujiuliza akili anayo kichwani au lah???dume zima unaweka kikao cha bday kweli...huyo sio mwanaume labda hujamkagua vizuri ndgu
 
Sipingani na mawazo yako mkuu,ila tunaangalia kati ya mchango wa harusi/ besidei na mahari kipi chenye mantiki japo kidg
hata harusi pia ni vema mtu ukajipanga na sio kutegemea watu wakupe ela nayo ni sawa na utumwa...kwa sisi vijana wengi kinatumaliza ni makundi na kufata mkumbo kuwa mwenzangu alifanya harusi na mm nifanye pia ya gharama milion 60 wakati uwezo ni mdgo au huna kabisa ela.kumbe ungeweza kualika watu wachache na ikafana sio lazima watu wawe 3000 ndo harusi iwe nzuri au bday inoge
 
Watu wa Hii Dini yetu wamekariri Vibaya sana,Kila kitu lazima Michango Mtu Hakai Akajipanga mwenyewee!! Yaani Jitu linapiga bajeti ya Harusi kumbe Linategemea michango
Wee hata hiyo dini ngingine tunawachangia sana siku hizi... Mmeambukizwa mbwembwe za wenzenu
 
Kama ni demu wako ni sawa kumchangia au kuijali birthday yake ila kama ni mwanaume ndy anataka mchango ni upuuzi huo mda wa kuwaza birthday na kuumiza kichwa ni bora uwaze mambo mengine ya msingi..
 
Kama ni demu wako ni sawa kumchangia au kuijali birthday yake ila kama ni mwanaume ndy anataka mchango ni upuuzi huo mda wa kuwaza birthday na kuumiza kichwa ni bora uwaze mambo mengine ya msingi..
Kwani naye wakati anazaliwa au anatungwa nilichangia mbegu?
 
Back
Top Bottom