Jamaa yangu anakula dada na mdogo wake

Dada zake?? Like serious!!!!
 
Dada zake wa tumbo moja au umekosea?
 
Yanatokea sana hayo madudu na nina mfano wa wazi kabisa kwa jamaa mmoja mwenyeji wa Bukoba ambaye alimuoa mwanamke ambaye walizaa naye but hakuchukua miaka, baadaye akaachana naye muda mfupi tena akabeba mdogo wake wa aliyekuwa mkewe na yeye kazaa naye na bado anaishi naye mpaka sasa.

Jambo kama hili huwa siyo zuri na mwanaume anayefanya hivi kwa uchawi au zinaa haimpi sifa nzuri zaidi ya kuharibu haiba ya maisha ya watoto watakapokuwa wakubwa.

Note: Jamaa siyo njaa kali ni mtu mwenye nafasi kwenye vitengo vya serikali yenu.
 
Hivi ukitaka kula mdogo wa ex kuna shida? Maana kuna mdogo wa ex kanishobokea na nimeshampanga kakubali nile mzigo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiuzoefu....huyo mdogo mtu kataka mwenyewe, niamini Mimi Jamaa hana kosa hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…