Jamaa yangu anakula dada na mdogo wake

Watu wa bukoba hyo tabia kwao ni kawaida kulana kuanzia dada mtu, mke Hadi mama mkwe ni kawaida tu ni mila hyo kabisa
 
Hivi ukitaka kula mdogo wa ex kuna shida? Maana kuna mdogo wa ex kanishobokea na nimeshampanga kakubali nile mzigo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna shida. Huyo ni ndugu yake na x wako, sio ndugu yako!

Nje ya mada, hivi ni kwanini siku zote mdogo mtu hua ni mzuri kuliko dada yake? Mimi imeshanitokea zaidi ya mara mbili kuwataka wadada halafu baadae nikaja kuhamishia majeshi kwa wadogo zao.
NB: mara zote nilikua sijala dada mtu bado.
 
utopolo
 
Mileage ya dada Ni kubwa kuliko dogo
 
Mkuu..hiyo nayo ni kesi?
Kuna watu wanagonga mama na mtoto na safi tu.
 
Huyo rafikiyo na shemeji yake wote hawana ustaarabu.
 
Mkuu kawaida sana siku hizi hata usishangae hata siyo ajabu kabisa kwanza nimeshangaa hadi umeanzisha thread kama jambo la ajabu kumbe kawaida kabisa
 
Hao waliochanganywa nyumba nzima sijui wanajisikiaje wakishajua
Hawajielewi itakuwa ni zile familia za uswahili na hawana kipato kazi yao kudanga mtu mwenye manner's zake hawezi fanya ujinga huo aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…