chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,079
- 2,273
za leo wakuu
kuna jamaa yangu mmoja alinipa hifadhi home kwake maana niliingia mjini mambo hayajakaa sawa. sasa juzi kanambia kuna manzi anakuja ili wainjoy sikukuu so nicheki utaratibu na mahali pa kukaa, sijajua ataondoka lini huyo demu. Ila jamaa ana chumba na sebule na mi nilikuwa naangusha sebuleni.