cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Haswaaaah umenena ashike na kulibeba.Kiasili binadam huwa anachoka hata mim nikikaa na mtu kidogo awe ndugu awe nani nataka aende ili nibaki mwenyewe [emoji23][emoji23]sasa unakuta mtu anataka akae tu weeeee sipendi 🫣mi nimekulia extended family toka nijitegeme hata napenda kukaa kwangu tu naona raha mno kuliko yaan home kulikuwa hakuna prvacy kabisa muda wote nyumba imejaa khaaa
nilivyokuwa home, kuna muda mtu anataka kukaa mwenyewe tu
We usiogope mwambie akusaidie hata mchange hela upange chumba chako mwenyewe anza mdogo mdogo nakuambia ukizoea hutataman kukaa kwa mtu ,muelewe na wala usikasirike
Sent using Jamii Forums mobile app