Jamaa yàngu ndàni ya wiki Mbili kanunua Bajaji Kwa Pesa za uganga wa jadi WA mchongo, wateja wakiwa waomba Ajira

Mganga ndio ana ajira portal? Waache ujinga
Alafu itakua Hawa watu wa kada ya afya ambao walikua wanaajiriwa bila interview

Dunia hii inamambo Mkûu.
Mbona Wengine wanaenda kuombewa na wachungaji na masheikhe. Kwani wachungaji na masheikhe ndîo Ajira Portal?
NI mambo ya Imani tuu Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…