edon66
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 2,907
- 9,135
😅😅😅😅😅😅😅 Anasukuma Toyota ww unasukuma story ya maishà yake na pesa zake kwetu cc .Kuna Mshikaji mmoja nyakati za utoto alikuwa mjingamjinga, ?Tu wa kudharauliwa, jamaa kaenda sijui Kongo Huko juzi tumekutana naye sio pouwa. Anasukuma Toyota Fortune
Maishà hayana fomla mkuu