jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,342
Kusema hamsemi makosa ya Jamal Malinzi sasa tumtoe kwa lipi?Mwenye macho aambiwi tule kalagha bao mtoto wa Malinzi mdogo wa Diva
Hamna hoja!!
Mmejaa chuki za kuambukizana kama epidemic disease.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kusema hamsemi makosa ya Jamal Malinzi sasa tumtoe kwa lipi?Mwenye macho aambiwi tule kalagha bao mtoto wa Malinzi mdogo wa Diva
Mwezi mzima hautoshi,shangaa mpaka atakapomaliza term yake ya pili.Malinzi akishinda nitashangaa mwezi mzima ! Ameharibu misingi ya adminstration bora aliyoijenga Tenga ovyo kabisa
Kwani akitoa komenti ndio Malinzi ataacha kugombea na hatimae kushinda,mbona wewe na wenzako mnatema uharo tuu hapa na Malinzi bado yupo?Mkuu hamna Ata kombora moja hapo , mi nimekuita kama mdau wa mpira wetu huko nchini utoe comment yoyote kuhusu hili la malinzi kugombea tena. Karibu
Kwa hiyo wewe kwa chuki zako binafsi ukitaka aondoke ndio ataondoka na wewe ndio unajua cha kufanya?basi nenda kapige kura isipotosha chukua form gombea kabisa.Hoja gani mkuu kwamba nataka afanye nini ?
Mimi nataka aondoke sababu hajui anachokifanya anaangalia maslahi binafsi na ukanda tu . Hivi unaweza ukanambia kuwa kafanya kitu gani kikubwa katika soka la bongo. ?
Wewe ni Mke wa Mayai?Mwenye macho aambiwi tule kalagha bao mtoto wa Malinzi mdogo wa Diva
Kama ccm inavyoyang'ang'ania.Madaraka matamu
Bongo kazi ipo !Kwa hiyo wewe kwa chuki zako binafsi ukitaka aondoke ndio ataondoka na wewe ndio unajua cha kufanya?basi nenda kapige kura isipotosha chukua form gombea kabisa.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Kwani kabla ya kuitwa Serengeti Boys walikuwa wapi,au unataka Malinzi awachukue akawaweke nyumbani kwake?Hivi wale teens (17) wapo wapi nini hatima Yao ?
[HASHTAG]#malinziMustQuit[/HASHTAG]
Ili wakifanya vibaya mapema mje kumtupia lawama Malinzi na TFF sio?Tungekuwa na akili wale madogo waliotoka kwenye U 17 ndio tungewapeleka south kwenye mwaliko wa cosafa
Embu weka hapa mambo aliyofanya Tenga awamu yake ya kwanza na mambo aliyofanya Malinzi awamu yake ya kwanza halafu tutoe hukumu.Malinzi hajafikia nusu ya tenga ,aende akasimamie gofu