Jamal Malinzi ni kitu gani umekisahau pale Karume hadi ugombee tena ?

Jamal Malinzi ni kitu gani umekisahau pale Karume hadi ugombee tena ?

Mwenye macho aambiwi tule kalagha bao mtoto wa Malinzi mdogo wa Diva
Kusema hamsemi makosa ya Jamal Malinzi sasa tumtoe kwa lipi?

Hamna hoja!!
Mmejaa chuki za kuambukizana kama epidemic disease.
 
Mkuu hamna Ata kombora moja hapo , mi nimekuita kama mdau wa mpira wetu huko nchini utoe comment yoyote kuhusu hili la malinzi kugombea tena. Karibu
Kwani akitoa komenti ndio Malinzi ataacha kugombea na hatimae kushinda,mbona wewe na wenzako mnatema uharo tuu hapa na Malinzi bado yupo?

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Hoja gani mkuu kwamba nataka afanye nini ?
Mimi nataka aondoke sababu hajui anachokifanya anaangalia maslahi binafsi na ukanda tu . Hivi unaweza ukanambia kuwa kafanya kitu gani kikubwa katika soka la bongo. ?
Kwa hiyo wewe kwa chuki zako binafsi ukitaka aondoke ndio ataondoka na wewe ndio unajua cha kufanya?basi nenda kapige kura isipotosha chukua form gombea kabisa.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Tungekuwa na akili wale madogo waliotoka kwenye U 17 ndio tungewapeleka south kwenye mwaliko wa cosafa
 
Tungekuwa na akili wale madogo waliotoka kwenye U 17 ndio tungewapeleka south kwenye mwaliko wa cosafa
Mkuu tatizo Bongo ujuaji na uyanga na usimba unawamaliza watu soka haliendelei kwa maslahi binafsi.
 
Yalifanyika makosa makubwa na wajumbe kipindi kile wakampa huy Malinzi badala ya injini ya uongozi wa Tenga.
Nyamlani au Mayayi ni watu sahihi. Lakini Wambura na Malinzi ni wachumia njaa wako tayari kuanzisha migogoro ili waendelee kuwepo katika soka
 
Wapigieni kura hao wagombea wengine.Mnalalama km vile mmezuiwa msiwachague wengine.

AU nyie ndo wale msompenda Wenger huku akipendwa na wenye timu??
 
Back
Top Bottom