beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 524
Mi namtafuta dada Madame B memkosa (memmiss)jaman..haya mnaokataliwa pm mkuje hapa kuwa appreciate misimamoo hehe chezeiya cyber matters..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe kuna raha huku....ugeni huuBy Jabulani
Nashukuru Christine amenipa ushirikiano kule PM. Sasa wewe uliyeleta hii mada tusisumbuane tukigongana huko street
Ha haaaa,umenichesha! Kama vipi zipigwe tu
Kumbe kuna raha huku....ugeni huu
Naona watu wanazidi kupendana humu... asa nimpende nani mie? teh!
hahahaaa.... Kwani pacha wangu umesha mdampo!!!!
Teeeh!
Pacha wako hanipendi, ataka pesa wakati mie sina kitu! Passion Lady ona huku wenzetu wanapendana...
maskini hadi nakuonea huruma jamani...... Si uzisake hizo pesa fasta uje upewe PM na pacha wangu
Bora umekuja mamito.....unakumbuka pm zilibwagwa hapa za watu?@Heaven on earth atakuwa ana kumbukumbu nzur.
Lakin si mbaya ukamsikilize kidogo teh teh
unajua uzur wako umenichanganya sana ndio maana nimeropoka n Pm mtoto nakufa ugonjwa wa moyo mie
ww unampenda wakat mm ndo nmempenda ulikuwa wap sk zote
Tina, mwenzio kakutunuku. Je, umesham-PM?
Kipipi ilikuwa balaa,naona modes waliamua kuingilia kati na kuitoa ile thread hahaa I wish ungeionaDuh . . . aitheee!
Halafu ikawaje thatha?
Simplicity mbona unazidi kunichanganya mwenzio
Yaani ni hivi: M_1 = Simplicity., M_2 = christine ibrahim, R = Distance between M_1 and M_2, G = Love constant (formerly Gravitational constant).
Kumbe mahesabu yanamhusu christine ibrahim, mi nliogopa nikidhani wataka nipokonya ubavu wangu Heaven on earth. Mia