Point less
Senior Member
- Jun 24, 2020
- 194
- 98
Kuna sisi ambao tunarudi mashuleni kuanzia leo hadi juma tatu, kama watu wenye busara na fikra endelevu tushaurini vyakuvifanya ambavyo sio vya kufanya kwa mafanikio kujenga taifa amina 🙂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Form four mkuu 🙂Uko langapi dogo
Cha kufanya: ukasome kwa bidii
Cha kutokufanya: usichanganye mafaili dili na masomo kwanza.
Uwe na masomo mema kila la kheri Mungu awe salama na mafanikio yako kwa kila jema unalofanya.
Asante kwa ushauri mkuu ntajitahidiCha kufanya: ukasome kwa bidii
Cha kutokufanya: usichanganye mafaili dili na masomo kwanza.
Uwe na masomo mema kila la kheri Mungu awe salama na mafanikio yako kwa kila jema unalofanya.
Ilo la muhimu sita puuzia asante 🙂Kasome kwa bidii...
Form four mkuu 🙂
Asante mkuu simu nita ifungia sitatumia maana naenda bweni. Imefelisha wengi pia,ntayakumbuka maneno zako nikiwa shuleHuu ni mwaka wa mwisho, ukiweza kuutumia vizuri unaweza kufanya vizuri.
Jibane, jinyime starehe kwa kipindi hiki kifupi.
Matumizi ya simu kwa namna yoyote ile ni kansa kwa mafanikio ya darasani.
Ukiweka nia inawezekana.
Kila la kheri mwanangu.
What do you mean?Fanya juu chini usiende usirudi shule na nyegezi
Asante mkuu simu nita ifungia sitatumia maana naenda bweni. Imefelisha wengi pia,ntayakumbuka maneno zako nikiwa shule
Nyegezi?Fanya juu chini usiende usirudi shule na nyegezi
Duh!Iyo ina bidi niifanyie mazoezi maana wamefukuzwa wanne japo ngumu kidogo 🙁 kuhusu nidhan sita kuangushaVyema sana, usisahau pia swala la nidhamu.
Kuna sera ya ukitakiwa kupewa adhabu hata kama kosa siyo lako, kubali kwanza adhabu halafu baada ya adhabu ndiyo ugome. Sijui kama bado inatumika hii, sisi ilitusaidia kumaliza shule bila suspension wala kufukuzwa.
Asanteee!Icho ndo kitu ambacho sitawahi fanya wakati wa shule asante sanaFata kilichokupeleka shule, achana na mapenzi shuleni
Duh!Iyo ina bidi niifanyie mazoezi maana wamefukuzwa wanne japo ngumu kidogo 🙁 kuhusu nidhan sita kuangusha
Wengi tunasemaga ivyo ila ukifika form 3 mambo yanabadilika. Hisia zinaposhindana na matamanio. Kaza buti elimu ndio kila kituAsanteee!Icho ndo kitu ambacho sitawahi fanya wakati wa shule asante sana
Ndio i will fight to be the best but not the first asanteKasome kuondoa ujinga, usisome kutafuta cheti.