Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 983
- 2,306
- Thread starter
-
- #41
Athari zaVita zita sambaa Dunia nzima wewe usiwe KilazaAcha kupotosha watu kununua chalula....no wakati wa kilima kwa wingi hasa kipindi hiki cha mvua za vuli tupate chakula cha kutosha kuwauzia mabeberu maana hawatakuwa wanajishughulisha na kilimo zaidi vita
Kwamba wazungu kwa wazunguIshu sio uchumi mkuu. Geographical Location. Libya IPO Afrika . Ukraine ipo Ulaya . Vitu viwili tofauti
Vitu ambavyo ni ambavyo tunawategemea wazungu kama mafuta lakini kwa chakula ni uongoPrayers
Athari zaVita zita sambaa Dunia nzima wewe usiwe Kilaza
Unamasihara wewe....Libya na Tz hata GDP ya 100Bn hatujafika unatufananisha na Ukraine yenye zaidi ya 600Bn?Ukraine kiuchumi ilikua haiikut libya hata nusu mjomba.. ukraine hata sis nahis tuko sawa nao
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi takwimu unazitoa wap mkuu.. hahah.. ukraine hii hii.. hebu google kwanza ndio urud hapaUnamasihara wewe....Libya na Tz hata GDP ya 100Bn hatujafika unatufananisha na Ukraine yenye zaidi ya 600Bn?
Be serious hatupo kijiweni hapa
nikukumbushe wewe sio yusufuYusuf aliwaambia wamisri kutakuwa na miaka Saba ya njaa so wahifadhi chakula na Mimi Leo nafanya kama alicho fanya Yusufu
Nasema uongo ndugu zangu?Tuchape Kazi Ndugu Zangu
Tumeliwa Sana
Tumelaliwa Mno
Wia ini ze streiti lainiDonor Country Tanzania
Tujiandae Kuwauzia Mitumba Na Chakula
Vita Ya Uchumi Ni Mbaya Sana Ndugu Zangu
Point of correction.. GDP ya Ukraine ni $ 182 Bn as per Wikipedia. Bado Libya na Tz hazikamati hata ukizicombineHizi takwimu unazitoa wap mkuu.. hahah.. ukraine hii hii.. hebu google kwanza ndio urud hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Libya ya mwaka gani?Ile ya Colonel Muammar Gaddafi?Point of correction.. GDP ya Ukraine ni $ 182 Bn as per Wikipedia. Bado Libya na Tz hazikamati hata ukizicombine
Embu muulize anaongelea Libya ya mwaka gani?maana kama ya Muammar Gaddafi,asee inabid afanye home work yake vzuriLibya ya mwaka gani?Ile ya Colonel Muammar Gaddafi?
Hebu muelekezen vzur nyie huyo kijana manaa mim hata sjui nianzie wap..Embu muulize anaongelea Libya ya mwaka gani?maana kama ya Muammar Gaddafi,asee inabid afanye home work yake vzuri
Tofautisha Marekani vs Libya and Russia vs Ukraine.
Ukraine is not Libya mkuu