Jamani anzeni kuhifadhi chakula ndani WW3 is coming

Hakuna sababu ya kununua chakula kwa ajili ya WW3. Sisi hatuna interest yoyote na vita vya tatu. Labda ungeshauri serikali inunue madawa, vifaa tiba, mafuta, gesi na mahitaji mengineyo ambayo tuyaagiza nje. Sisi tutakuwa tunalima huku mabosi zetu wakipigana kivyao huko majuu. Tutalima hadi wa kula wakosekane maana soko letu la bidhaa za kilimo lipo kwao na wao watakuwa busy na vita. Na vita vitapiganiwa hukohuko wala sio huku kwetu. Na mabaki ya silaha zitakazobaki baada ya vita tutauziwa sisi tusiojua hata kuzitengeneza. Narudia tena usije ukajaribu kununua mahindi eti yatapanda bei au yataadimika. Nunua bidhaa amabazo nchi yetu na Afrika kwa ujumla hawazalishi.
Dunia ni ndogo mkuu na tunaingiliana kwa mambo mengi.
 
Mkuu vita ya tatu ikitokea. Haitachukua hata masaa 24 dunia itakuwa imebaki magofu.

Kwahiyo hata ukiweka chakula hakitakusaidia. Itakuwa ni vita ya kinyuklia.
 
Wanunue P2, Misso, Condom na Flex P za kutosha lazivyo watazaana sana watu

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Naiona ndoto yng ya kwenda ulaya najua wataomba man power kutoka africa cku ikifka Nimo.
 
Madhara kwetu hayatakua makubwa Kama unavyofikiria,hatuko utumwani. Tukizalisha chakula tutawauzia waliko vitani
 
Hakuna sababu ya kununua chakula kwa ajili ya WW3. Sisi hatuna interest yoyote na vita vya tatu. Labda ungeshauri serikali inunue madawa, vifaa tiba, mafuta, gesi na mahitaji mengineyo ambayo tuyaagiza nje. Sisi tutakuwa tunalima huku mabosi zetu wakipigana kivyao huko majuu. Tutalima hadi wa kula wakosekane maana soko letu la bidhaa za kilimo lipo kwao na wao watakuwa busy na vita. Na vita vitapiganiwa hukohuko wala sio huku kwetu. Na mabaki ya silaha zitakazobaki baada ya vita tutauziwa sisi tusiojua hata kuzitengeneza. Narudia tena usije ukajaribu kununua mahindi eti yatapanda bei au yataadimika. Nunua bidhaa amabazo nchi yetu na Afrika kwa ujumla hawazalishi.
Iko hivi,
Hiyo ni vita na kwenye vita silaha yoyote inaweza kutumika zikiwemo biological weapons. Sasa silaha za kibaiolojia ni virusi na magonjwa MF. Covid19.

So hizo silaha zikshatumika,response ya nchi nyingi duniani zitaweka namna mbali mbali za kudhibiti usambaaji ikiwemo "kaa ndani".
Hapo ndio logic ya mleta Uzi ilipo.
Hii vita sio rafiki kabisa
 
Madhara kwetu hayatakua makubwa Kama unavyofikiria,hatuko utumwani. Tukizalisha chakula tutawauzia waliko vitani
Hamko utumwani na wanatudai pesa za mikopo? Kuna utumwa duniani unaoshinda madeni?
 
Huko inatakiwa wapelekwe wanajeshi wa Tanzania wakatulize Amani ni wakakamavu Sana na Wana mafunzo makali Putin atatulia tu
 
Mkuu vita ya tatu ikitokea. Haitachukua hata masaa 24 dunia itakuwa imebaki magofu.

Kwahiyo hata ukiweka chakula hakitakusaidia. Itakuwa ni vita ya kinyuklia.
Sahii KABISA,
Vita ya nyuklia na hydrogen bombs Ni mbaya Sana.

Ndo Maana Hakuna anayethubutu kuivamia nothkorea,
Maana akili za kiduku wanazijua zilivyo fyatu[emoji2]
 
Back
Top Bottom