Jamani askari tuliostaafu tunaomba Rais Magufuli utukumbuke pensheni bado, hali ni ngumu mtaani huku

Kuleni mabomu na marungu mliyokuwa mkiwapiga wapinzani wakati wanawatetea.
 
mchagueni Tundu Lissu imeisha hii!
 
Yupi huyo mkuu
 
Nyie si ndio mnaongoza kutisha na kupiga watu wakidai haki zao cc unatuambia tukusaidie nn kawaambie waliokua wanakutuma kutesa,kupiga na kuua watu.........

#TUTAELEWANA TU
Sasa hivi wameshajazwa Pemba na Unguja ili wawaumize ndugu zao. Wengine wamevalishwa nguo za kiraia wapige kura mara mbili mblli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…