Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
πππππmagufuli mitano tenaaaaa
Inachoma Kama Pasi Ya Mkaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
πππππmagufuli mitano tenaaaaa
Afande Watu Wanemsakama SanaWatu wamemuandama afande hakuna hata faraja!
Kweliunaanzaje kuomba haki yako,piga chini Oktoba
Malipo hapa hapa duniani, mlivyokuwa mnapiga watu mabomu ya machozi mlikuwa mnajua haitafika kesho yenu ??Maisha tunayo yaishi mtaani ni magumu sana, tuna muda tumestaafu NAULI ZETU za kurudi majumbani hatujapewa, Pensheni hatujalipwa, basi tupeni pensheni ya kila mwezi jamani tuna aibika na familia zetu huku mtaani hapafai, hatuna biashara, basi tupeni nauli turudi majumbani kwetu tuhangaike na Kilimo huko.
Kweli mtu ukae mwaka na zaidi mshahara ulikata siku nyingi tu baada ya kumaliza likizo ya pensheni, pensheni hutujapewa na nauli hatuja pewa tunaishije mfano.
Tuonee huruma jamani. kama mambo ya uchaguzi ndio pesa imetumika sana huko sisi hatuhusiki huko mtuonee huruma.
Askari gani ww unalalamika unatakiwa uwe mvumilivu na jasiri, endelea kusubiri ata kama itachukua miaka 25Maisha tunayo yaishi mtaani ni magumu sana, tuna muda tumestaafu NAULI ZETU za kurudi majumbani hatujapewa, Pensheni hatujalipwa, basi tupeni pensheni ya kila mwezi jamani tuna aibika na familia zetu huku mtaani hapafai, hatuna biashara, basi tupeni nauli turudi majumbani kwetu tuhangaike na Kilimo huko.
Kweli mtu ukae mwaka na zaidi mshahara ulikata siku nyingi tu baada ya kumaliza likizo ya pensheni, pensheni hutujapewa na nauli hatuja pewa tunaishije mfano.
Tuonee huruma jamani. kama mambo ya uchaguzi ndio pesa imetumika sana huko sisi hatuhusiki huko mtuonee huruma.
Yaani Ni Kama Lile Gari La Maji Ya Kuwasha Limefunguliwa.Mtoa mada ni kama umefungulia mlango wa fedheha tu. Ona unavyoshambuliwa
Leo ndo unajua hakuna sheria ya kunyamazisha watu kudai haki zao?,sasa mbona mnawapiga mambomu wadai haki?Wewe inaonekana sio mfanya kazi maana usingeongea kwa kujitoa fahamu, kwani kutumika na mabeberu kuna kuwaje mfano. ndio mlitunga sheria za kuwanyamanzisha watanzania wasiwe wanadai haki zao, pumbavu
Wewe ndio huna akili, huwa tunawaambia msijitoe akili kwa sababu ya hiyo kazi kwani kuna kesho, hapo najua huwezi hata kusaidiwa na wasamaria wema kwa sababu hukuishi vizuri na jamii, ni kosa kubwa sana kutii Amri huku ukijua unatekeleza amri isiyo halali, nenda ukamuombe Sirro akusaidie, na serikali ya ccm mliyokuwa mnaisaidia kuteka watu na kuuwa watu ndio hiyo sasa hivi haiwajali tena, sio kwamba haina hela za kuwalipa bali ni kwasababu imeona hamna thamani tena, sasa mnavuna mlichopanda, tarehe 28/10/2020 onyesha hasira zako kwa ccm kwa kuikataa au kama vipi muendelee kusotea haki yenu, nyie ndio mlikuwa na nafasi kubwa ya kuwezesha kuing'oa ccm madarakani kwa kuiacha icheze mchezo sawa kwenye uwanja wa siasaHuna akili, hujui pale ilikuwa ni amri na kutii mamlaka, sasa niko uraiani mkataba umeisha unataka iweje mfano nikae kimya au
sabab wananyanyasa raia, kuna siku nimeenda kumsalimia mzee nikakuta nyumba kampangisha askari polisi bahati nzuri alikuwa amelipia ila hajahamia nilipofika nikamwambia amrudishie kodi fasta, asilete mikosi nyumbani.Afande Watu Wanemsakama Sana
Bila Shaka Yoyote
Nina Jamaa Yangu Mmoja Ana Ndugu Yake Ni Askari Anasema Akitoka Kazini Nguo Anafulia Na Kuvalia Kikosini.
Nikamuuliza Kwanini, Akasema Hawakubaliki Uraiani, Ndiyo Maana Nguo Kuvaa Zimekuwa Mzigo
Linakuwaje sensitive ?, hawa askari stupid waliwapiga mabomu ya machozi jamaa zetu walikuwa wanadai mafao yao hapo kahama mwaka jana,Pole Sana serikali inabidi iwape haki yenu, I wonder pia wengine wanaotoa kejeli kwenye swala sensitive hivi
Ndio maana natamani kuona mwisho wa yule RPC wa Dodoma na yule Trafic anaitwa sijui TaslimTatizo wanashiriki kufanya uhuni dhidi ya jamii wakidhani kuwa hawatazeeka