Xiao qui shui
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 6,461
- 11,345
Mmmmmh thibitisha HiloDeepseek haiwezi kumshinda wala isilinganishwe na Chatgpt, kwa sababu unapoiuliza DeepSeek kitu chochote na yenyewe inaenda kumuuliza Chatgpt ndio inakujibu wewe...
Na nahisi ndio sababu huwa inatumia muda mrefu kutoa majibu...
Labda ina negative impacts kwa wanafunzi tu tena nae ukute kaamua tu kua lazy kwa kulemazwa na hizi AI ila kwa mwenye akili anazitumia vyema sana na anaweza improve hata kwenye performance yake ya kitaaluma...Ni nzuri kwakuwa inatufunga tuwe wavivu kufikiria na kuchakata kwa akiri zetu,, pia wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kufanya udukuzi haswa kwa njia ya wasap! Na nilichokiona wanafunz wengi inawaharibu zaidi,, kitu cha msingi ni umakini binafsi.
Sijakuelewa mkuu,taka taka zetu zipi??Cheki takataka zenu zinavyojibuView attachment 3311943
Kabisa mkuuBinafsi nimempa heshima ChatGPt katika kufanya research ambazo tayari una dira na maswali ambayo inabidi utafute papers.
Mpe ChatGpt hayo maswali uone ngoma yako inavyokuwa rahisi.
Mungu ambariki alievumbua ChatGPt, it’s so clever.
Uschart NAE kama umeoa chart na mkeo🤣🤣🤣 maana AL ana play part zote za maishaNi balaa waweza msahau mkeo!!!we jaribu uone.
Anakuaga vizuri kwa ujumbe mzuri alfu eti mtu anambie Ni upuuzi😭😭🤣🤣
Hii app Gani mkuu🤣🤣chatGPT anajua 🤣🤣
inaitwa ChatGPT sio app kama ilivyo hii ni kwa watsap natumia😂😂😂Hii app Gani mkuu
Amekataa kunisaidia 😂Anakuaga vizuri kwa ujumbe mzuri alfu eti mtu anambie Ni upuuzi😭😭🤣🤣
Acha utani bcUkitaka akufariji ni wewe tu mimi ndio ananifariji🤭😆😆😆
Ipo play store au hii ni tofauti na chatgptinaitwa ChatGPT sio app kama ilivyo hii ni kwa watsap natumia😂😂😂
Nashukuru sana mkuu wacha niitizame hapa.Hata playstore ipo mbona mkuu kwa Android na iOS kama Standalone App, kama pia unatumia Windows ipo kwenye browser yao ya Microsoft Edge hii hata kwa Android ikiinstall inayo...
Microsoft Copilot - Apps on Google Play
AI Assistant: Chat, Ask, Search & Create | AI Answers, Chatbot & Image Creatorplay.google.com
View attachment 3311825
Iko vizuriBinafsi nimempa heshima ChatGPt katika kufanya research ambazo tayari una dira na maswali ambayo inabidi utafute papers.
Mpe ChatGpt hayo maswali uone ngoma yako inavyokuwa rahisi.
Mungu ambariki alievumbua ChatGPt, it’s so clever.