Jamani ChatGPT ya WhatsApp inaweza pelekea ukawa mraibu!

Kuna vitu inadanganya mfano mimi ni mpenzi sana wa muziki wa Congo dr na Congo brazzaville sasa juzi nikamuuliza kuhusu members wa kundi la extra musica aisee alijichanganya vibaya mnoo,kanitajia nyoka longo jossart wakati ni wa bendi ya zaiko langalanga kanitajia serge mabiala wakati ni wa wenge musica maison mere pia kanitajia lokassa ya mbongo wakati ni wa soukous stars toka hapo sina nae imani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…