Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Mungu atusaidie tu kwakweliPowh jiandae tu Kulamba Asali maana Bajeti ya mwaka huu lazima uogelee ktk kitengo maana Bajeti kubwa ime-Consider katika Kilimo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu atusaidie tu kwakweliPowh jiandae tu Kulamba Asali maana Bajeti ya mwaka huu lazima uogelee ktk kitengo maana Bajeti kubwa ime-Consider katika Kilimo.
0764161048Matangazo mengi Sana Ni watendaji wa mtaa, wa kijiji, kila halmashauri Ni nafasi 12,14 na Nyasa nafasi 6, Makatibu mukhtasi, madereva, hamashari nyingi Sana mkuu, mabwana shamba wanaweza wakawepo maana sijayasoma yote, Ila watendaji wa mtaa na vijiji ndio wengi Sana, ngoja nikuangalizie halafu nakujulisha inbox au Kama una haraka nitext WhatsApp nikutumie ya halmashauri zote, nayaweka naona yanakataa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Bajeti inaweza ikawa kubwa Ila je wameconsider kuajiri experts kwa kiasi kikubwa..? Inaweza ikawa bajeti kubwa Ila kiasi kikubwa ni kwenye Umwagiliaji(Yaan kujenga Irrigation schemes, vifaa vya Umwagiliaji, ruzuku/pembejeo) that so.. but naamini hataki kwa kiasi Cha kawaida Ajira zitatoka sana upande wa KilimoPowh jiandae tu Kulamba Asali maana Bajeti ya mwaka huu lazima uogelee ktk kitengo maana Bajeti kubwa ime-Consider katika Kilimo.
Nimekutumia namba asubuhi ila naona kimyaKweli Mama Samia anaupiga mwingi, Ajira zinazomwagwa Sasa hv na Halmashauri mbalimbali nchini ni kufuru yaan Kila Halmashauri Ajira kibao Watendaji wa mitaa, mabwana Shamba na mifugo, madereva, maafisa manunuzi. Tembeleeni tovuti za halmashauri mbalimbali ili mufahamu namna ya kuomba kazi hzi.
Kila la kheri JobSeekers.
Hadi Sasa Halmashauri zilizotangazwa Ajira ni kama ifuatavyo na bado Halmashauri zingine zinaendelea kutangaza.
Halmashauri ya Masasi mji.
Halmashauri ya Newala mji.
Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa.
Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino.
Halmashauri ya Wilaya ya Mtama.
Halmashauri ya Wilaya ya Rorya.
Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro.
Halmashauri wilaya ya Kondoa.
Ilemela Mwanza.
Tandahimba.
Nimekutumia namba asubuhi ila naona kimya
Wwe fupisha tu maneno, mshahara unanzia shiling ngapi hadi ngapi!!? Mambo ya TGS B na NTA level 5 Wengi humu hatukuelewi!!!Inafaa hyo mkuu, tofauti na kukaa bure kwanza ni permanent job.
Hyo TGS B ni kwa wale NTA level 5 but Mabwana Shamba na mifugo NTA level 6 wako na TGS C.. ombeni kazi vijana.
Nimemtumia lakini kimyaNamba mtumie yule jamaa, mwenye matangazo ili akutumie wasap.. matangazo ya Ajira ni mengi mno Kila Halmashauri..
Bila kusahau Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti wameweka tangazo lao hapa mchana
Wwe fupisha tu maneno, mshahara unanzia shiling ngapi hadi ngapi!!? Mambo ya TGS B na NTA level 5 Wengi humu hatukuelewi!!!
mkuu, hawa wakurugenzi ukiwapelekea cheti cha bacholor wanapokea kweli? kwa utendaji wa mtaa.Inafaa hyo mkuu, tofauti na kukaa bure kwanza ni permanent job.
Hyo TGS B ni kwa wale NTA level 5 but Mabwana Shamba na mifugo NTA level 6 wako na TGS C.. ombeni kazi vijana.
Hapo ni ngumu, because umeOverQulify. Pale wanahitaji ngazi ya Technician certificate ambayo ndo hyo NTA level 5.. Sasa unaweza kuona hizo Ajira hata Diploma Holder hazimfai coz anakuwa na NTA level 6 na hata kingazi ya mishahara Huyu wa diploma inabidi analipwe mshahara wa ngazi TGS C.mkuu, hawa wakurugenzi ukiwapelekea cheti cha bacholor wanapokea kweli? kwa utendaji wa mtaa.
Hata hao Maafisa Kilimo sio sana..Halmashauri kweli wanatoa ajira Ila ni fields chache (mfano fields za watendaji kata na Bwana shamba) kwahiyo kama graduate hukusomea hizo fields taabu ipo pale pale.
Ombeni kote ila kilwa siwashauri acheni wamwera ndowaombe kunawafaa wao wenyeweKweli Mama Samia anaupiga mwingi, Ajira zinazomwagwa Sasa hv na Halmashauri mbalimbali nchini ni kufuru yaan Kila Halmashauri Ajira kibao Watendaji wa mitaa, mabwana Shamba na mifugo, madereva, maafisa manunuzi. Tembeleeni tovuti za halmashauri mbalimbali ili mufahamu namna ya kuomba kazi hzi.
Kila la kheri JobSeekers.
Hadi Sasa Halmashauri zilizotangazwa Ajira ni kama ifuatavyo na bado Halmashauri zingine zinaendelea kutangaza.
Halmashauri ya Masasi mji.
Halmashauri ya Newala mji.
Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa.
Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino.
Halmashauri ya Wilaya ya Mtama.
Halmashauri ya Wilaya ya Rorya.
Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro.
Halmashauri wilaya ya Kondoa.
Ilemela Mwanza.
Tandahimba.
Kwa nini mkuuOmbeni kote ila kilwa siwashauri acheni wamwera ndowaombe kunawafaa wao wenyewe
Waombe tu bhana kama uchawi na wivu Kila Mahalia upoOmbeni kote ila kilwa siwashauri acheni wamwera ndowaombe kunawafaa wao wenyewe
Waombe tu bhana kama uchawi na wivu Kila Mahalia upoOmbeni kote ila kilwa siwashauri acheni wamwera ndowaombe kunawafaa wao wenyewe
Kila kada Ina nafasi za kuajiri Ila Kuna changamoto inayosababisha watu kushindwa Hilo.. kwanza sio lazima watu wote tujiajiri.. inatakiwa wengine waajiriwe ili wawe wateja wetu kwa wale tuliojiajiri.Mabwana shamba lakini hawataki kujiajiri ktk kilimo wanataka kazi ya ofisini
Basi sawaKila kada Ina nafasi za kuajiri Ila Kuna changamoto inayosababisha watu kushindwa Hilo.. kwanza sio lazima watu wote tujiajiri.. inatakiwa wengine waajiriwe ili wawe wateja wetu kwa wale tuliojiajiri.
Wache JobSeekers wapambanie Ajira tusishikiane akili.
Hapo ni ngumu, because umeOverQulify. Pale wanahitaji ngazi ya Technician certificate ambayo ndo hyo NTA level 5.. Sasa unaweza kuona hizo Ajira hata Diploma Holder hazimfai coz anakuwa na NTA level 6 na hata kingazi ya mishahara Huyu wa diploma inabidi analipwe mshahara wa ngazi TGS C.
So we ni Expert in your Academic level, yaan uko juu sana. Labda iwe ni makubaliano tu na ukubali kulipwa hiko kiasi Cha TGS B.. But uhalisia we ukianza kazi kwa mara ya kwanza inabidi uwe TGS D.