Jamani fuatilieni Halmashauri mbalimbali, sasa zinamwaga ajira

Jamani fuatilieni Halmashauri mbalimbali, sasa zinamwaga ajira

Wwe fupisha tu maneno, mshahara unanzia shiling ngapi hadi ngapi!!? Mambo ya TGS B na NTA level 5 Wengi humu hatukuelewi!!!
HV mfano ukipata ajira halmashauri wanaweza kukuacha apo makao au kukupeleka kweny hospital zao labda
 
Back
Top Bottom