Jamani fuatilieni Halmashauri mbalimbali, sasa zinamwaga ajira

0764161048
Kongole mkuu naomba nisaidie hayo matangazo nijaribu bahati yangu ndo watsap yangu hiyo
 
Powh jiandae tu Kulamba Asali maana Bajeti ya mwaka huu lazima uogelee ktk kitengo maana Bajeti kubwa ime-Consider katika Kilimo.
Bajeti inaweza ikawa kubwa Ila je wameconsider kuajiri experts kwa kiasi kikubwa..? Inaweza ikawa bajeti kubwa Ila kiasi kikubwa ni kwenye Umwagiliaji(Yaan kujenga Irrigation schemes, vifaa vya Umwagiliaji, ruzuku/pembejeo) that so.. but naamini hataki kwa kiasi Cha kawaida Ajira zitatoka sana upande wa Kilimo
 
Nimekutumia namba asubuhi ila naona kimya
 
Namba mtumie yule jamaa, mwenye matangazo ili akutumie wasap.. matangazo ya Ajira ni mengi mno Kila Halmashauri..
Bila kusahau Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti wameweka tangazo lao hapa mchana
Nimekutumia namba asubuhi ila naona kimya
 
Inafaa hyo mkuu, tofauti na kukaa bure kwanza ni permanent job.
Hyo TGS B ni kwa wale NTA level 5 but Mabwana Shamba na mifugo NTA level 6 wako na TGS C.. ombeni kazi vijana.
Wwe fupisha tu maneno, mshahara unanzia shiling ngapi hadi ngapi!!? Mambo ya TGS B na NTA level 5 Wengi humu hatukuelewi!!!
 
Namba mtumie yule jamaa, mwenye matangazo ili akutumie wasap.. matangazo ya Ajira ni mengi mno Kila Halmashauri..
Bila kusahau Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti wameweka tangazo lao hapa mchana
Nimemtumia lakini kimya
 
Inafaa hyo mkuu, tofauti na kukaa bure kwanza ni permanent job.
Hyo TGS B ni kwa wale NTA level 5 but Mabwana Shamba na mifugo NTA level 6 wako na TGS C.. ombeni kazi vijana.
mkuu, hawa wakurugenzi ukiwapelekea cheti cha bacholor wanapokea kweli? kwa utendaji wa mtaa.
 
mkuu, hawa wakurugenzi ukiwapelekea cheti cha bacholor wanapokea kweli? kwa utendaji wa mtaa.
Hapo ni ngumu, because umeOverQulify. Pale wanahitaji ngazi ya Technician certificate ambayo ndo hyo NTA level 5.. Sasa unaweza kuona hizo Ajira hata Diploma Holder hazimfai coz anakuwa na NTA level 6 na hata kingazi ya mishahara Huyu wa diploma inabidi analipwe mshahara wa ngazi TGS C.
So we ni Expert in your Academic level, yaan uko juu sana. Labda iwe ni makubaliano tu na ukubali kulipwa hiko kiasi Cha TGS B.. But uhalisia we ukianza kazi kwa mara ya kwanza inabidi uwe TGS D.
 
Halmashauri kweli wanatoa ajira Ila ni fields chache (mfano fields za watendaji kata na Bwana shamba) kwahiyo kama graduate hukusomea hizo fields taabu ipo pale pale.
 
Halmashauri kweli wanatoa ajira Ila ni fields chache (mfano fields za watendaji kata na Bwana shamba) kwahiyo kama graduate hukusomea hizo fields taabu ipo pale pale.
Hata hao Maafisa Kilimo sio sana..
 
Ombeni kote ila kilwa siwashauri acheni wamwera ndowaombe kunawafaa wao wenyewe
 
Mabwana shamba lakini hawataki kujiajiri ktk kilimo wanataka kazi ya ofisini
 
Mabwana shamba lakini hawataki kujiajiri ktk kilimo wanataka kazi ya ofisini
Kila kada Ina nafasi za kuajiri Ila Kuna changamoto inayosababisha watu kushindwa Hilo.. kwanza sio lazima watu wote tujiajiri.. inatakiwa wengine waajiriwe ili wawe wateja wetu kwa wale tuliojiajiri.
Wache JobSeekers wapambanie Ajira tusishikiane akili.
 
Basi sawa
 
Aombe tuu akiingia uko atabadili badae kazi zimekuwa kipengele sasa ivi ni bora kupata japo kidgo kuliko kukosa kabsa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…