Jamani fuatilieni Halmashauri mbalimbali, sasa zinamwaga ajira

0716 326162 namba izo naitaji izo ili nitume mie DEREVA
 
Nina kacheti kangu apa cha ICT naweza nikaomba na nikapata nafasi
 
Nadhan muuliza swali Oscar_TZ amepata muongozo.. kwa ufupi tu TGS B ni inarange 310,000 mpaka 390,000.
Yaan haizidi Laki 4
 
Hizo nafasi za watendaji ni diploma au cheti?

#MaendeleoHayanaChama
 
Duuh..kweli hatari yani nw days ni mwendo wa cheti na diploma kwa kazi za serikali.

Wenye digrii tuendelee kujiongeza kitaa.

#MaendeleoHayanaChama
Wangeruhusu tu degree apply Kaz za diploma overqualification Sioni kama nikitu kibaya
 
ni mwambie tu kuwa mshahara ni TGS B1 ongeza na Ile asilimia iliyo ongezwa utapa jibu
 
Vijana umri msisahau maana mmekula bench sana na umri ni kigezo
 
Wakuu naomba kufahamu nguvu ya recommendation letter katika maombi ya ajira.
Ukiandikiwa hio barua kuna uwezekano ukafanikiwa kupata ajira uloomba?
 
Hakuna utendaji kata.. Ila nachoona hawa watendaji wa mitaa wakiwa kwenye kazi mda mrefu na wakijiendeleza kimasomo ndo wanapataga kata
Mkuu umeliona lile la ofisi ya cag wanataka wataalamu wa sheria na afisa vilimo


Kuna sehemu wameandika wanataka watu wa shahada ya kilimo na Shahada ya kwanza ya sayansi waliojiimarisha katika mchepuo wa kilimo kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine au Vyuo vingine vinavyotambuliwa na Serikali. hapa wanamaanisha kwamba

Horticulture , forestry na agronomy pia ni ruhusa ku apply ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…