Jamani fuatilieni Halmashauri mbalimbali, sasa zinamwaga ajira

Tangazo lipo kwenye website ipi mkuu?
 
Kama Ni Ajira portal haiwezekani kwa izo kozi zingine.
 
Hakuna utendaji kata.. Ila nachoona hawa watendaji wa mitaa wakiwa kwenye kazi mda mrefu na wakijiendeleza kimasomo ndo wanapataga kata
Kata Ni kuanzia Diploma.

UKiwa na cheti mwisho Ni mtaa/Kijiji unless kama Kuna upungufu unaweza kukaimu kata
 
Wakuu naomba kufahamu nguvu ya recommendation letter katika maombi ya ajira.
Ukiandikiwa hio barua kuna uwezekano ukafanikiwa kupata ajira uloomba?
Wakuu, pitieni na hapa. Mwenye ujuzi wa hili nililouliza tafadhali.
 
Wangeruhusu tu degree apply Kaz za diploma overqualification Sioni kama nikitu kibaya
Ni ujinga na ukiritimba usio na maana. Unakuta mtu ana cheti labda cha IT na degree ya utawala. Ikitoka post inahitaji certificate ya IT, akiomba system inamkataa na ukiuliza wanasema una over qualification.
 
Wewe kama umepita SUA, na kozi yako imetokea kwenye Ile college yetu pendwa ya Agriculture basi unafiti.. Forest nadhani haiko college ya Agriculture. Kama mvumilivu Subiri zile 814 zikitoka
 
Wewe kama umepita SUA, na kozi yako imetokea kwenye Ile college yetu pendwa ya Agriculture basi unafiti.. Forest nadhani haiko college ya Agriculture. Kama mvumilivu Subiri zile 814 zikitoka
814 hazitoki kwa mkupuo kama afya na elimu. Ndo hizihizi mbili tatu zinazotoka na nyingine kupitia halmashauri mbalimbali.
 
814 hazitoki kwa mkupuo kama afya na elimu. Ndo hizihizi mbili tatu zinazotoka na nyingine kupitia halmashauri mbalimbali.
Sasa nambie huko Halmashauri ni Halmashauri gani zimetangazwa nafasi za maafisa Kilimo kama sio madereva, KATIBU mahsusi na watendaji..!!!
 
Watakuja kuuliza eti ambao hawajasoma, hii inawahusu au wakae kwa kutulia!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…