Jamani hawa watumishi wa umma wameishalipwa ili niende kudai madeni yangu

Jamani hawa watumishi wa umma wameishalipwa ili niende kudai madeni yangu

Tangu Jumamosi nilidhani wangelipwa, lakini hadi leo kimya. Isije kuwa wameshalipwa wakaamua kunyamaza.

Biashara imekuwa ngumu jamani—wadeni wangu, kama mmepokea malipo, tafadhali msinisahau.
Saa moja na nusu jioni, utawekewa salary yako, bado masaa machache tu boss 😋😋
 
😂😂😂Kaka sio kufulia huko au unajengw mwili? Maana kuwala wawili Kwa wiki bila shaka ufugaji umeanza kukupa stress za maisha
Wana tia huruma nikirudi home wananipokea na nikiwa natoka wananisindikiza..aisee kuku wanahitaji ujipange hata gunia mbili za pumba kbs
 
Back
Top Bottom