Jamani hawa watumishi wa umma wameishalipwa ili niende kudai madeni yangu

Tangu Jumamosi nilidhani wangelipwa, lakini hadi leo kimya. Isije kuwa wameshalipwa wakaamua kunyamaza.

Biashara imekuwa ngumu jamani—wadeni wangu, kama mmepokea malipo, tafadhali msinisahau.
Acha kuzunguka mbuyu sema tu ukweli umechoka kusubiri, usijali leo ndege ataingia tunduni
 
Tangu Jumamosi nilidhani wangelipwa, lakini hadi leo kimya. Isije kuwa wameshalipwa wakaamua kunyamaza.

Biashara imekuwa ngumu jamani—wadeni wangu, kama mmepokea malipo, tafadhali msinisahau.
Teacher, pole sana! Acha kujifanya unadai, wakati wewe ndie unapumulia mashine hapo, unadaiwa simu hupokei!!!
 
Tangu Jumamosi nilidhani wangelipwa, lakini hadi leo kimya. Isije kuwa wameshalipwa wakaamua kunyamaza.

Biashara imekuwa ngumu jamani—wadeni wangu, kama mmepokea malipo, tafadhali msinisahau.
1745411237736.png
 
Mtumishi wa Umma anaulizia kijanja kama umesoma.
Mzee bado Bila bila
 
Back
Top Bottom