Jamani hii habari ya mwalimu wa madrasa kumvunja mtoto kidole kisa kuhudhuria kongamano imenisikitisha sana

Jamani hii habari ya mwalimu wa madrasa kumvunja mtoto kidole kisa kuhudhuria kongamano imenisikitisha sana

Gift mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2019
Posts
1,856
Reaction score
2,417
Wakuu hii imetokea wilaya ya Siha
Mwalimu wa madrasa amemwadhibu mwanafunzi kiasi Cha kumvunja kidole
 
Wakuu hii imetokea wilaya ya Siha
Mwalimu wa madrasa amemwadhibu mwanafunzi kiasi Cha kumvunja kidole
View attachment 2498918

Sishabikii hizi adhabu za kuumizana na siandiki kwa sababu ya dini!!

Kuna ndugu yangu alivunja mtoto hii mifupa miwili inayotoka kwenye kiwiko kuishikilia kiganja, ili dislocate na mmoja ukapasuka kabisa!!

Mtoto akiwa std 5 alianza kucheza kamari bila yeye kujua, alipogundua alienda kutafiti kwenye vibanda vya kamari na kuhakikisha kuwa ni kweli anacheza kamari!!

Anasema huwa unamudhibu kwa idadi ya viboko na matakaoni, alimtandika kiboko kimoja tu tena cha kawaida kwa lengo la kuonya ila kuhangaika kwa mtoto akaangukia meza na kuumia!

Alimpeleka mtoto hospital na kutibiwa ila ilimsumbua sana kana kwamba kuna dhamira ya kuua alikuwa nayo.

Hizi ajali katika kunyoosha zipo japo tusiadhibu kwa kutoa hasira, tuadhibu kwa kuonya!! Kidogo tu, wototo bila adhabu hawaendi
 
Doh! Mtume anawashangaeni sana nyinyi walimu jinsi mnavyojibidiisha kuwatimua waamini wake halafu mnawalinda kwa mkono wa Chuma?
 
Hila madrasa wanapiga kuliko shule kisa mtoti ajue kiarabu kuna ulazima wa watoti kwenda kusoma huko mtoto kiarabu?
 
Back
Top Bottom