LAKINI MBONA THESE BEING EXECUTED ARE BLACKS?Hii chuki ilitengenezwa kutokana Americo Liberians kuwabagua Natives
Ubaguzi sio poa kabisa.
Sidhani, labda kama jiwe angelikuwepo, he was destined for thatSamia na Kinana na wao wanafuata kutundikwa msalabani.
Liberia kulikua na weusi waliotoka utumwani huko marekani hao walikua wanajiona wao ndo wa levo ya juu kuliko wazawa wa palepale na walitaka kuwatawala wazawa, wageni walikua wanajiona na wao ni kama wazungu sio wa AfrikaLAKINI MBONA THESE BEING EXECUTED ARE BLACKS?
Magufuli ameshalipwa sawa sawiaKila ubaya Utalipwa
Surely! He couldn't miss such execution kwa nama alivyotutendea ubayaSidhani, labda kama jiwe angelikuwepo, he was destined for that
Americo Liberians ni vizazi vya Watumwa waliopelekwa Marekani na walirudishwa Afrika na kutafutiwa Nchi yao lakini wakajiona wao wanahaki kuliko "Savages" jina waliowatolea Waafrika wa asili ya pale.LAKINI MBONA THESE BEING EXECUTED ARE BLACKS?
Ni Black Americans vs black Liberians Kama sikosei !LAKINI MBONA THESE BEING EXECUTED ARE BLACKS?
Nimekupata vemaAmerico Liberians ni vizazi vya Watumwa waliopelekwa Marekani na walirudishwa Afrika na kutafutiwa Nchi yao lakini wakajiona wao wanahaki kuliko "Savages" jina waliowatolea Waafrika wa asili ya pale.
Kama ilivyo kawaida yetu Waafrika tutatafuta njia ya kubaguana tu kuliko ya kutuunganisha.
I mean waliohamia Liberia hawakuwa whites !Ni Black Americans vs black Liberians Kama sikosei !