Jamani hili huko Liberia lilitokana na nini? Picha inatisha kidogo

Jamani hili huko Liberia lilitokana na nini? Picha inatisha kidogo

Hivi Hawa akina Kagame, Museveni and many other African dictators hawana la kujifunza kutokana na historia halisi za juzi tu Kama hii!
Wanakuwa wanajihisi ule msemo wa mlinzi mmakonde " ukimeza nchale ukitema nchale " !! Inakuwa ngumu kuachia !!
 
Natamani hii itokee uku kwetu ili tupate haki sawa......komoa tukomoane
 
Wanajeshi bwana wengi hamnazo they don't reason kabisa,eti kiss tu umeambiwa shoot nawe una shoot.
 
Jamaa unapenda mteremko sana. Hayo masuala yapo google hadi video zipo huko. Inaonekana unapenda sana kusimuliwa baadala ya kukusanya facts.

Huyo ni Samuel Doe alipofanya mapinduzi aliwaua mawaziri waliokuwepo kwenye Serikali
 
Samuel doe alidakwa na walinda usalama wa ECOWAS kisha wakamkabidhi kwa ndugu yake aitwae ‘prince Johnson’ na kajamaa kakammaliza kumkata kiungo kimoja kimoja
 
Ukiuwa kwa upanga nawe tarajia kuwawa kwa upanga, ni suala la muda tuu, yuku wapi jiwe aliye kuwa ana jisikia fahari na raha sana kuwamaliza wapinzani wake, upanga ule ule ulifanya kazi yake
Mzee kifo ni jambo la lazima usijisahulishe...

Jiwe alishakula ujana na alikua ameuanza uzee kama bata amezila hana cha kupoteza...

Jinga.
 
Ukiamua kuishi simple life thamani ipo ! Lakini ukiamua kuishi highlife be prepared for the worse to come !!
Namna gani embu nifundishe,maanahuku mbeya mwez huu huu,Costa ya kwanza ilipitiwa na roli ilikuwa imebeba wafanya biashara wa mpunga wakielekea ubaruku wakafa watu 30 na kitu....juz Tena Costa ingine ilikuwa inaenda njombe imepigwa na roli inyala hapohapo katika watu 40 walipona 5 nao baadhi hawana viungo.Hiyo thamani ya maisha Iko wapi
 
Jamaa unapenda mteremko sana. Hayo masuala yapo google hadi video zipo huko. Inaonekana unapenda sana kusimuliwa baadala ya kukusanya facts. Huyo ni Samuel Doe alipofanya mapinduzi aliwaua mawaziri waliokuwepo kwenye Serikali
Wewe wasema....unajua nimezipata wapi, inajuwaje Kama Nina access ya mitandao
Wewe wasema......
 
Back
Top Bottom