Jamani hili huko Liberia lilitokana na nini? Picha inatisha kidogo

Jamani hili huko Liberia lilitokana na nini? Picha inatisha kidogo

Mengistu akiona hivi damu inamsisimka sana mpaka namuonea huruma ......
 
Na Samuel Doe alikuwa ni Dikteta hatari kabisa hadi umauti ulipomkuta,alipoingia mikononi mwa Rebel Prince Johnson na kuuwawa kwa kukatwakatwa huko Monrovia.
Alivuna alichopanda yupo kuzimu anakula moto
 
LAKINI MBONA THESE BEING EXECUTED ARE BLACKS?
Ni kizazi cha waliokuwa watumwa wakarudishwa Africa na America Colonization Society na kuzaa taifa la Liberia 1847.Kwa hiyo ni weusi ila walijiona kama wako juu na ni bora kuliko wenyeji.
 
Ukiuwa kwa upanga nawe tarajia kuwawa kwa upanga, ni suala la muda tuu, yuku wapi jiwe aliye kuwa ana jisikia fahari na raha sana kuwamaliza wapinzani wake, upanga ule ule ulifanya kazi yake
Naona malaika mnajadili, as long as kwenu kufa ni adhabu kwa watu waovu. Muishi milele
 
Mungu atupe mwisho mwema, atuepushe na gadhabu, uchungu, ukali wowote pamoja na hasira.
Picha na masimulizi vinatisha sana...
Binafsi nimewa hurumia sana Sam Doe na wengine wote walioadhibiwa.
Neno la Mungu linasema hasira ya binadamu haitendi haki ya Mungu
 
Mliberia huyo akielezea maisha yalivyokuwa kipindi cha vita.
Hawa mimi huwa sipendi kabisa wajichanganye na raia wa kitanzania maana wata waambukiza ujinga.

Unakumbuka hata wale raia wa Burundi wanakuja kuwafundisha raia wa Tanzania kuiba kwa silaha za moto wakati sio mambo yetu kabisa.

Kuna hawa raia wa Somalia nao ni hivyo hivyo wanawafundisha raia wa Tanzania ukatili. Si unaona yule dogo Hamza alichofanya na hana asilia ya hapa ana tabia za ajabu sana. Kiukweli sipendi kuchangamana na hawa watu wa hovyo wenye matabia ya hovyo.

Ningekuwa rais hawa watu ningewapa hifadhi ya muda tu waende kwengine au warudi makwao. Sitaki kuchanganya raia wangu na majitu yenye tabia za hovyo, ukatili, visasi, chuki, husuda, tamaa, kama majitu ya kongo, Rwanda, Somali na huko Liberia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ni ubaguzi sasa
 
wazungu sio malaika, bali binaadamu wakawaida kama binaadamu wengine, ila muafrika sio binaadamu kamili.
Unamzunguziaje Aldof Hitler ambaye wewe unamwabudu kama binadamu kamili
 
Back
Top Bottom