Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasikitisha baadhi ya binadamu wana roho mbaya sana.Baada ya huyo Raisi na Baraza lake la Mawaziri kuuwawa walizikwa chini ya Barabara moja kuu katikati ya Jiji la Monrovia.
Hebu fikiria chuki ilivyokuwa imetalamaki.
Wazungu ndio walifanya ukatili mkubwa sana hata huko kwao lakini pia ndio wameasisi ustaarabu wa sheria kwa hiyo kuleta unafuu Dunia..Kuna muda ukitafakari ....kuishi hakuna thamani
Aisee🙌Wazungu ndio walifanya ukatili mkubwa sana hata huko kwao lakini pia ndio wameasisi ustaarabu wa sheria kwa hiyo kuleta unafuu Dunia..
Kiujumla Binadamu hana tofauti na unyama hata huu utashi uliopo kiasi fulani imepatikana kwa gharama kubwa ya maisha na ukatili..
Huko google nako ni watu wameweka, si ajabu kwa lugha za wageni! Wacha ijadiliwe huku nako ili ikae kwenye archive ya vizazi na vizazi wajifunze kupitia forums zetu!Jamaa unapenda mteremko sana. Hayo masuala yapo google hadi video zipo huko. Inaonekana unapenda sana kusimuliwa baadala ya kukusanya facts. Huyo ni Samuel Doe alipofanya mapinduzi aliwaua mawaziri waliokuwepo kwenye Serikali
Huyu Madilu system yeye anajua kwamba yupo?Hizi picha kila ninapoziona, huwa najiuliza kweli kuna Mungu?
Hizi picha kila ninapoziona, huwa najiuliza kweli kuna Mungu?
afadhali umemrekebisha, asante sanaHuko google nako ni watu wameweka, si ajabu kwa lugha za wageni! Wacha ijadiliwe huku nako ili ikae kwenye archive ya vizazi na vizazi wajifunze kupitia forums zetu!
Ulichopaswa ni kujazia nondo unachojua ili wasiojua nao wajue badala ya kumwambia asiyejua ni uvivu!
Pia google zipo shallow sometimes ila kuna watu wana mambo toka eneo la tukio, nondo ikishushwa utasema ulifika!!
Is it kind of instructive to unknown forthcoming au ni flashback as historian?Ilitokana na nini?
Cabinet ministers lined up for execution after a coup d'état in Liberia, 1980
A Liberian army soldier stands ready to execute a former cabinet minister following the 1980 coup. The minister in the photo: Cecil Dennis.![]()
The 66-year old president was savagely murdered by private soldier Harrison Pennoh, who later proved mentally unstable. Before the end of the month, the entire Cabinet had been put on trial and sentenced to death – with no right to be defended by a lawyer and no right to appeal to the verdict.
A Liberian execution squad fires a volley of shots, killing cabinet ministers of Liberia.![]()
Maisha yanaendelea tu bro sisi tukiondoka wengine wataendelea kuzaliwa tu ndo maana pamoja na ajali na vita zote zinazotokea duniani bado ndio wanazidi idadi katika kila nchi duniani !Namna gani embu nifundishe,maanahuku mbeya mwez huu huu,Costa ya kwanza ilipitiwa na roli ilikuwa imebeba wafanya biashara wa mpunga wakielekea ubaruku wakafa watu 30 na kitu....juz Tena Costa ingine ilikuwa inaenda njombe imepigwa na roli inyala hapohapo katika watu 40 walipona 5 nao baadhi hawana viungo.Hiyo thamani ya maisha Iko wapi
Huyu Doe si ndiye waliyemburuza uchi mtaani baada ya kumkamata?Baada ya huyo Raisi na Baraza lake la Mawaziri kuuwawa walizikwa chini ya Barabara moja kuu katikati ya Jiji la Monrovia.
Hebu fikiria chuki ilivyokuwa imetalamaki.
Samia na Kinana na wao wanafuata kutundikwa msalabani.
Hii chuki ilitengenezwa kutokana Americo Liberians kuwabagua Natives
Ubaguzi sio poa kabisa.
Sisi uhasama huo bado hatujaufikia ila Magufuli alikuwa anataka kutupeleka huko, wakati alipoanzisha chuki dhidi ya Wachaga.Kama CCM wanavyowabagua na kuwaonea wapinzani ipo siku tutalipa kisasi kama siyo hawa waliopo basi watoto wao.
Kuna clip iko YouTube Samuel do kawekwa Uchi,anahojiwa analiaSamuel Doe nae alikufa Kinyama,kila ubaya malipo ni hano hano.