Jamani hili huko Liberia lilitokana na nini? Picha inatisha kidogo

Kuna muda ukitafakari ....kuishi hakuna thamani
Wazungu ndio walifanya ukatili mkubwa sana hata huko kwao lakini pia ndio wameasisi ustaarabu wa sheria kwa hiyo kuleta unafuu Dunia..

Kiujumla Binadamu hana tofauti na unyama hata huu utashi uliopo kiasi fulani imepatikana kwa gharama kubwa ya maisha na ukatili..
 
Jamaa unapenda mteremko sana. Hayo masuala yapo google hadi video zipo huko. Inaonekana unapenda sana kusimuliwa baadala ya kukusanya facts. Huyo ni Samuel Doe alipofanya mapinduzi aliwaua mawaziri waliokuwepo kwenye Serikali
Huko google nako ni watu wameweka, si ajabu kwa lugha za wageni! Wacha ijadiliwe huku nako ili ikae kwenye archive ya vizazi na vizazi wajifunze kupitia forums zetu!

Ulichopaswa ni kujazia nondo unachojua ili wasiojua nao wajue badala ya kumwambia asiyejua ni uvivu!

Pia google zipo shallow sometimes ila kuna watu wana mambo toka eneo la tukio, nondo ikishushwa utasema ulifika!!
 
afadhali umemrekebisha, asante sana
 
Is it kind of instructive to unknown forthcoming au ni flashback as historian?

Umeuliza swali lakini lengo lake nini
 
Maisha yanaendelea tu bro sisi tukiondoka wengine wataendelea kuzaliwa tu ndo maana pamoja na ajali na vita zote zinazotokea duniani bado ndio wanazidi idadi katika kila nchi duniani !
 
Baada ya huyo Raisi na Baraza lake la Mawaziri kuuwawa walizikwa chini ya Barabara moja kuu katikati ya Jiji la Monrovia.

Hebu fikiria chuki ilivyokuwa imetalamaki.
Huyu Doe si ndiye waliyemburuza uchi mtaani baada ya kumkamata?

Alikuwa na roho mbaya sana alistahili ile adhabu.
 
Doe alitumiwa during cold War ,akaja Charles Taylor akatumiwa sasa hivi anaozea gerezani Nchini Uingereza, atayefuata ni PAKA ajichunge sana kwani wahuni wanabadilisha policy yao Africa.
 
Kama CCM wanavyowabagua na kuwaonea wapinzani ipo siku tutalipa kisasi kama siyo hawa waliopo basi watoto wao.
Sisi uhasama huo bado hatujaufikia ila Magufuli alikuwa anataka kutupeleka huko, wakati alipoanzisha chuki dhidi ya Wachaga.

Tukemee kabisa siasa za ubaguzi,dauma huwa hazina mwisho mwema.
 
Samuel Doe nae alikufa Kinyama,kila ubaya malipo ni hano hano.
Kuna clip iko YouTube Samuel do kawekwa Uchi,anahojiwa analia
Dam znamtoka
Jamaa aliburzwa kisawasawa
Aliipata fresh

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…