MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Oooh Really!!! Fifi Cooper na Rosa Ree wanaweza kuchana hivi ???Uyo namuwekea fifi cooper au rosa ree hatoboi haPo
Oooh Really!!! Fifi Cooper na Rosa Ree wanaweza kuchana hivi ???
Rosa Ree is really good!!!! But, when it comes to flow, content, language command and the ability to easily fuse with other genres Sampa is an Ace.....Mwl.RCT umemsikiliza huyu binti lakini ???
Mkuu, ndiyo unitajie mwanamke anayeweza kuimba hivi. Mimi binafsi siwafahamu na huenda nikawa nimezuzuka tu na kuzipenda hizi nyimbo mbili. Labda, Stella Mwangi, Dama Do Bling, Fifi Cooper, Rosa Ree ??? Hebu nipe shule hapa......Nimemsikiliza mbona wa kawaida Sana au we ni promoter ake mkuu ?
Inawezekana kabisa! Lakini umetumia kigezo gani ???Huyu haingii kwa Rosa Ree.
nimemuambia mm huyu kwa rosa ree haingiiHuyu haingii kwa Rosa Ree.
Umeona ehhNimemsikiliza mbona wa kawaida Sana au we ni promoter ake mkuu ?
Kuna wadau wangu humu wanasema ni wa kawaida..........Nilikuwa nadhani unamuongelea mtu mwingine Zaid ya sampa the great nilikuwa nishangae
Kuna dude lake linaitwa energy humo amepiga vina Kati mwanzo na mwisho ukichanganya na hiyo beat ni balaa
Tuko pamoja kaka......I love new music, to add to my playlist, thanks. Yupo vizuri sana.
Anaimba kawaida sana Kuna mdada anaitwa ShenseeaHuyu mwanamke ni Mzambia, lakini moto wake ni wa kuotea mbali. Anaimba kama katokea Marekani aiseee.......Ni mtoto wa miaka 29 tu, lakini uwezo wake siyo wa dunia hii. Hadi wanaume amewashinda......
Hii ngoma yake inanifanya niwaze sana.....
Huu hapa yuko na Mama Angelique Kidjo.....