Jamani hivi kuna rapper wa kike kama huyu hapa barani Afrika, amewashinda hadi wanaume?!

Jamani hivi kuna rapper wa kike kama huyu hapa barani Afrika, amewashinda hadi wanaume?!

Aisee, tayari ngoma moja ya Sampa kwenye Album mpya ishafika Hollywood hata mwezi haujaisha....
Imekuwa Soundtrack kwenye filamu ya The Black Panther: Wakanda Forever....
I'm super proud of for her.....

Mwl.RCT, nimeleta nyimbo za Sampa The Great siku ambayo alitoa Album yake....
Hata mwezi haujaisha dogo keshalamba dili la Marvel kwenye Soundtrack....
Bado tu mnaamini kwamba rapper wa kawaida anaweza fanya hivi kweli ??
 
Nimemsikiliza mbona wa kawaida Sana au we ni promoter ake mkuu ?
Inawezekana wa kawaida sana, lakini muda tu ndiyo UTATHIBITISHA au KUBATILISHA hili.
Tuombe MUNGU uzima, tuyaone ya mwaka huu na mwakani.....
 
Aisee, tayari ngoma moja ya Sampa kwenye Album mpya ishafika Hollywood hata mwezi haujaisha....
Imekuwa Soundtrack kwenye filamu ya The Black Panther: Wakanda Forever....
I'm super proud of for her.....

Mm mwenyewe nimemjua kutokea kwenye series ya ozark ambapo nyimbo yake ilitumika Kama soundtrack
 
Mm mwenyewe nimemjua kutokea kwenye series ya ozark ambapo nyimbo yake ilitumika Kama soundtrack
Aisee, sikujua hilo maana Ozark sijaicheki mkuu...
She's going to get big, ASTRONOMICALLY BIG....
 
Back
Top Bottom