Jamani hivi kuna rapper wa kike kama huyu hapa barani Afrika, amewashinda hadi wanaume?!

Jamani hivi kuna rapper wa kike kama huyu hapa barani Afrika, amewashinda hadi wanaume?!

Huyu mwanamke ni Mzambia, lakini moto wake ni wa kuotea mbali. Anaimba kama katokea Marekani aisee, ni mtoto wa miaka 29 tu, lakini uwezo wake siyo wa dunia hii, hadi wanaume amewashinda.

Hii ngoma yake inanifanya niwaze sana.....


Huu hapa yuko na Mama Angelique Kidjo.....
Mlete asimame na Nazizi my all times best female rapper in East Africa. Hatoboi [emoji1]
 
Ana flow kama 90s rappers plus she's plain ugly. Huyu ni throwback. Rap has evolved. Millennials don't dig her style.
 
Shenseea anapumzi balaa. Alafu akimaliza kuchana anacheka tu na makeup usoni ipo vilevile.
 
Back
Top Bottom