Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Kuna muda unaweza kuota ndoto zingine za ajabu Sana mpaka ukaanza kujiuliza imekuwaje kuwaje mpaka ukaota ndoto ya hivi?
Imagine unaota unafanya mapenzi na mtu unayemheshimu Sana.Anaweza kuwa boss wako,mwalimu wako au mke wa mtu na unamheshimu Sana,Yaani Sana tu na hujawahi fikiria hata siku Moja kwamba unaweza mtamani kingono ama kumtongoza.Yaani heshima yako kwake Ni imetukuka Hadi mwenyewe anajua unamheshimu Kweli.
Mimi binafsi imeshawahi nitokea Mara kadhaa najikuta nafanya mapenzi au romance au kutongozana na mtu ninayemheshimu Sana.
Sio kwamba huwa nawatamani kingono na Wala sijawahi fikiria kuwatongoza.Uhusiano wetu Ni wa kawaida tu Yaani tukikutana huwa tunapiga story za kawaida.
Sijui Kama na nyinyi mnaotaga ndoto za hivi ama Ni Mimi pekee yangu tu wakuu?
And how can you interpret these dreams?