Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Acha punyeto.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo zinakua ngenye kupitiliza sanaaMkuu na Kama Sina mke afu nikaota ndoto za namna hiyo?
Mbona unawaza negative mkuu🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓kuna raha nyingine hugeuka kuwa karaha. Imagine umepata jini mahaba la kiume halafu basha. Sasa hapo hata akikupa kila kitu kwa mtoto wa kiume una raha gani?
Itabidi nifanye ibada sasaJini hilo
Kaa makini maana umesema zina jirudia jirudia ...
Hao unaowaota ni warembo?Nimeshaota Mara kadhaa mkuu, muda mwingine naota na nafanya romance na mke wa mtu au saa zingine na mwalimu aliyenifundisha shuleni,hi imekaaje mkuu?
Ni ukweli mkuu, kwa elimu ndogo niliyo nayo kuhusu hao viumbe...Mkuu hiki unachokisema Ni ukweli ama unaniongopea tu
Sasa niendelee kusikilizia ama niende Moja kwa Moja nimtongoze?Ni ukweli mkuu, kwa elimu ndogo niliyo nayo kuhusu hao viumbe...
Sana fanya ibada..Itabidi nifanye ibada sasa
Ni warembo haswa,Tena wanajielewa SanaHao unaowaota ni warembo?
ndio ujue vya majini tuwaachie majini kaka. Majini wana hulka za kibinadamu pia, wana kila aina ya tabia ambazo binadamu wanazo.Mbona unawaza negative mkuu🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓
Hapa tunazungumzia jini la kike hayo ya kiume hayo khaaaa si ndo uchawi wenyewe huo
Duh! Nimekuelewa mkuuSana fanya ibada..
Mkuu maana wanakuwaga na shida hao wakiingia mwilini mwako
exactySana fanya ibada..
Mkuu maana wanakuwaga na shida hao wakiingia mwilini mwako
Akija ndotoni wee mpe sapport na unapokua unaongea na mtu kuhusu hiki kitu onesha kuwa umefurahishwa hivo na yeye atajua fika kuwa muhuni umeelewa pigo zake..Sasa niendelee kusikilizia ama niende Moja kwa Moja nimtongoze?
Hawajawahi kuniambia mkuu coz hata Mimi mwenyewe huwa siwaambii Kama nimewaota, huwa nakula buyu tuKwahiyo hakuna aliyewahi kuota anaf*lwa
Ahahahahahah mbona kama unatafuta twin hivi🤓🤓🤓Kwahiyo hakuna aliyewahi kuota anaf*lwa
Mkuu mbona Kama sijakuelewa vizuri hapaAkija ndotoni wee mpe sapport na unapokua unaongea na mtu kuhusu hiki kitu onesha kuwa umefurahishwa hivo na yeye atajua fika kuwa muhuni umeelewa pigo zake..
Hivo atafnya kuja hata ukilala mchana wee unajilia mzigo imeisha hiyo..
Na unaweza kuongea nae kuwa ajaribu kuja katika sura inayoeleweka its possible
Kuna kitu naelewa kuhusu majini kuwa ameumbwa kwa moto hivo ana uwezo wa kujibadilisha kwa anavotakandio ujue vya majini tuwaachie majini kaka. Majini wana hulka za kibinadamu pia, wana kila aina ya tabia ambazo binadamu wanazo.
Hakuna jini litakalo kupa kitu bila ya wewe kutoa kitu, hata hao wanaosadikika kuwa majini mahaba. Atakupa mali lakini atachukua uhuru wako wa kuishi na kuenjoy hizo mali.
Kwa mwanaume kuna maana gani ya kuwa na pesa bila kuweza kuchakata papuchi tofauti. Ukiwa na jini hata ukifikiria demu mwingine tu anajua maana anakuwa anaishi ndani yako.
Jini jini jini . Onesha unafurahia jambo la yeye kukutokea ndotoniMkuu mbona Kama sijakuelewa vizuri hapa
mambo bull bull mpaka pale utakapotaka kuchakata papuchi nyingine.Kuna kitu naelewa kuhusu majini kuwa ameumbwa kwa moto hivo ana uwezo wa kujibadilisha kwa anavotaka
Oky hapo kwenye kujibadilisha relate na kuchakata mbususus tofauti tofauti huoni hapo mambo yanakuwa bull bull