Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Wee furaha yako kuchakata mbususu tofauti tofauti..mambo bull bull mpaka pale utakapotaka kuchakata papuchi nyingine.
anaweza mbadilisha demu uanemchakata kuwa na sura ya bambo au kingwendu. sasa jiulize kama utaendelea na hapo raha ya maisha iko wapi.
Unapiga zako tako demu anakwambia hino hino π π π π π π
Watu wanaogopa tuu kwani ukiota unachakatwa kwani ndo ni ukweli au... ?Hamna mwenye ujasiri wa kusema hayo,ila hio po Hadi majini ya usagaji yapo.
Ndo wewe hapo uliota hivo mkuu
Hapana hapana sijui mkuu...Eee unajua maana yake au ni ndoto tu
Yaaani ya kuota unaliwa au..?Hi kama haijakukuta utaleta masihara na itakuwa inakuchekesha sanaaa,ila Muombe Munu wako yasikukute dunia utaiyona chungu.
Duuh ngoja ninyamaze kwanza....Sasa kama unaona ni ndoto tu haina mathara,sawaaaaa siku ukianza kuota na yatakayokuwa yanakupata usiyache kuja kutuuelezea humu sawaa Tena hio siku ni tag.
Well basi huwa unawatamani kingono.Ni warembo haswa,Tena wanajielewa Sana
Japo sijui imani yako ni ipi ila nitaliongelea kiroho zaidi kwasababu hapa jukwaani wapo watu wa aina mbalimbali;waaminio na wasioamini. Hivyo ushauri wao utakuja wa aina nyingi kutokana na kila mtu anavyojua.Kuna muda unaweza kuota ndoto zingine za ajabu Sana mpaka ukaanza kujiuliza imekuwaje kuwaje mpaka ukaota ndoto ya hivi?
Imagine unaota unafanya mapenzi na mtu unayemheshimu Sana.Anaweza kuwa boss wako,mwalimu wako au mke wa mtu na unamheshimu Sana,Yaani Sana tu na hujawahi fikiria hata siku Moja kwamba unaweza mtamani kingono ama kumtongoza.Yaani heshima yako kwake Ni imetukuka Hadi mwenyewe anajua unamheshimu Kweli.
Mimi binafsi imeshawahi nitokea Mara kadhaa najikuta nafanya mapenzi au romance au kutongozana na mtu ninayemheshimu Sana.
Sio kwamba huwa nawatamani kingono na Wala sijawahi fikiria kuwatongoza.Uhusiano wetu Ni wa kawaida tu Yaani tukikutana huwa tunapiga story za kawaida.
Sijui Kama na nyinyi mnaotaga ndoto za hivi ama Ni Mimi pekee yangu tu wakuu?
And how can you interpret these dreams?
Duh! Umetema madini Sana mkuu, ahsante sana kwa kunifumbua macho mkuuJapo sijui imani yako ni ipi ila nitaliongelea kiroho zaidi kwasababu hapa jukwaani wapo watu wa aina mbalimbali;waaminio na wasioamini. Hivyo ushauri wao utakuja wa aina nyingi kutokana na kila mtu anavyojua.
Imeandikwa "mtu aziniye na mwanamke hana akili kwani hufanya jambo la kuiangamiza nafsi yake mwenyewe "
Kwanini hana akili? Kwasababu anafanya kitu ambacho kinayagharimu maisha yake, kinaharibu maisha yake ya asili na kuharibu uhusiano wake na Mungu.
Adui hawezi kuja kukuibia kitu chako cha thamani pasipo kuharibu kwanza kinga yako au ulinzi atakaoukuta kwako.
Nafsi ni wewe ulivyo ndani.
Nafsi ndio inayotunza roho yako.
Roho yako ndio uhai wako. Humo ndani ndimo kuna vitu vya kiroho ambavyo vimebeba future yako.
Hakuna jambo linalotokea mwilini pasipo kuanzia kwenye rohoni. Matendo ya mwili yanaanzia rohoni. Kumbuka roho ni ulimwengu wa siri usionekana kwa macho ya damu na nyama lakini ni halisi.
Sasa basi kuna watu unaowajua au huwajui wanakuibia vitu vyako vya rohoni kwa kuiharibu nafsi yako kwa kuwekewa roho ya uzinzi, wanakutumia roho ya mauti ili ufe kiroho halafu wakuibie vitu vyako. Mfano nyota, huenda una nyota ya biashara, kazi, elimu, siasa na uongozi n.k
Hao unaowaona na kuwatambua wanaweza kuwa ni wao au wamevishwa sura zao ili kukupoteza maboya na wasijulikane.
Chunguza kwenu unaweza kukuta nyumbani kwenu kuna madhabahu ya uzinzi, kwahiyo wanapitia hapo hapo.
Lakini mara nyingi ukiota unafanya mapenzi na ndugu yako au mtu wako wa karibu jua kwamba kuna mtu ndani ya familia au mtu wa karibu yako amekutumia roho ya mauti.
Unajua mtu akiwa amekufa anakuwa hawezi kufanya chochote wala kumiliki kitu chochote, kwahiyo ni lazima ufe kwanza ndipo uibiwe kile ulichonacho. Iwe kiroho au kimwili.
Unaweza kufa kiroho ukaishi kimwili lakini maisha yako hayatakuwa sawasaw na ya wengine, utaishi kwa kustruggle sana.
Je, unapoota ndoto za namna hii, ni mambo gani huwa yanabuma au unapata shida sana kuyakamilisha? Chunguza kwenye maisha yako.
Nini kifanyike. Jibu ni MAOMBI,MAOMBI,OMBA KWA KUMAANISHA [emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
Karibu mkuu [emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji120][emoji120][emoji120]Duh! Umetema madini Sana mkuu, ahsante sana kwa kunifumbua macho mkuu
Miaka 26 unaniita dogo mkuu?Hizo NDOTO NYEVU. Bado unakua dogo.
Nashukuru Sana mkuu kwa kunielimisha.Nitaufanyia kazi ushauri wako.RAYMANU254
SPIRITUAL HUSBANDS AN WIVES.
Nataka kuzungumzia somo linalohusu MAJINI MAHABA, kuhusu majini Mahaba kwa Sasa limekuwa tatizo katika jamii yetu.
Kwanza Kabisa tambua kuwa hizi roho zimegawanyika katika makundi matatu.
1-Zinazokuwa kama wanaume
2-Zinazokuwa kama wanawake
3-Zinazokuwa kama watoto.
-Zinazokuwa kama mwanaume hupenda kukaa wa binadamu wanawake,
-Zinazokuwa kama wanawake hupenda kukaa kwa wanadamu Wanaume.
-Watoto huwa ni matokeo ya hizo zote mbili baada ya kukaa kwa mwanadamu, Hivyo zinazokuwa kama watoto hukaa kote yaani kwa WANAWAKE na WANAUME.
Kuna Sababu kadhaa zinazopelekea Mtu kuvamiwa na hizi Roho.
Kuna Sababu kadhaa zinazopelekea Mtu kuvamiwa na hizi Roho.
Kwanza kabisa unapaswa kuelewa kuwa hizi Roho hulenga mahusiano katika maisha ya mwanadamu..
Haya nifuatilia sasa πππ
SABABU YA HIZI ROHO KUVAMIA MAISHA YA MWANADAMU.
1- Kupenda- Hizi Roho huwa na hisia za kupenda kama ilivyo kwa Mwanadamu, Zinaweza kumpenda mtu na kuamua kuanzia Mahusiano na mtu bila ridhaa ya mtu au bila hata mtu mwenyewe kujua.
Zinaanzisha mahusiano, Kama ni mwanaume zinataka ziwr MKE na kama ni mwanamke huja MUME.
Hii huweza kumtoke mtu hata akiwa anatembea tu hata amekaa akahisi kama kitu kimemvaa. Au Mtu huyu akaota kama anafunga ndoa.
2- Kupitia Ushirikina/Kurogwa- Yaani mtu anaweza kutaka kuharibu mahusiano au Ndoa ya mtu, Anaenda kwa mganga kisha mganga hutuma jina mahaba la kike kwa Mwanaume kama mke au la kiume kwa mwanamke kama mume. Yaani unaozesha bila wewe kujua ili tu mahusiano yako ya kimwili yaharibike.
3- Kwa Njia ya KURITHI.
Kwanza nataka ujue kuwa kibiblia WAZAZI ndo walikuwa Makuhani wa familia zao. Mfano; Ibrahimu muwe wa Isaka, Ayubu, Labani baba yao kina Rachel na Rebecca.
Sasa wazazi na wazee wa ukoo husikilizwa katika wanapoenda kwa Mungu au miungu kw ajili ya Ukoo au familia zao.
Sasa kwa Mila zetu kuna wakati wazee huenda katika mito na milima kuzungumza na hizi ili kukabidha uzao wao mfano; Wanaweza kusema "watoto wote wa kike watakao zaliwa watakuwa WAKE WENU". Sasa hata kama hayo maneno yatasema ukiwa hujazaliwa basi ujue hizo zitafuatilia kizazi hadi kizazi na zitakufikia na kukumiliki tu. Na zitakufuata kwa kuwa tu umezaliwa katika huo ukoo...
4- Kwa njia ya mtu kufanya mapenzi na mtu Pepo mahaba.
Biblia inasema "Aliyeungwa na kahaba ni mwili mmoja nae" 1Kor 16
Ndio maana kuna watu baada ya kushiriki kimwili na watu fulani Mambo yakiharibika sana, Wengine baada tu kushiki mapenzi na watu fulani hadi leo hawezi kudumu katika mahusiano ina maana hizi Roho huwa zinahama kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine.
Miaka 26 unaniita dogo mkuu?
Ndoto hutokana na msongo wa mawazo yanayo zunguka kichwani kwako. Ndoto ni sehemu ya ubongo kufanya rebuild up. Kwahiyo mtoa mada acha kutuongopea eti huwatamaniKuna muda unaweza kuota ndoto zingine za ajabu Sana mpaka ukaanza kujiuliza imekuwaje kuwaje mpaka ukaota ndoto ya hivi?
Imagine unaota unafanya mapenzi na mtu unayemheshimu Sana.Anaweza kuwa boss wako,mwalimu wako au mke wa mtu na unamheshimu Sana,Yaani Sana tu na hujawahi fikiria hata siku Moja kwamba unaweza mtamani kingono ama kumtongoza.Yaani heshima yako kwake Ni imetukuka Hadi mwenyewe anajua unamheshimu Kweli.
Mimi binafsi imeshawahi nitokea Mara kadhaa najikuta nafanya mapenzi au romance au kutongozana na mtu ninayemheshimu Sana.
Sio kwamba huwa nawatamani kingono na Wala sijawahi fikiria kuwatongoza.Uhusiano wetu Ni wa kawaida tu Yaani tukikutana huwa tunapiga story za kawaida.
Sijui Kama na nyinyi mnaotaga ndoto za hivi ama Ni Mimi pekee yangu tu wakuu?
And how can you interpret these dreams?
Sa umeota tu, kwani hapo unaona Kuna maajabu Gani?Kuota unaolewa na mtu ashafariki na ni maarufu na tajiri