Jamani hizi ndoto huwa Zina maana gani?

Duh! We kweli poor brain, Yani kwenye ndoto mtu unaweza kuamua ufanye kitendo kipi?
 
Mbona unawaza negative mkuu[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]
Hapa tunazungumzia jini la kike hayo ya kiume hayo khaaaa si ndo uchawi wenyewe huo
Sasa kama ww unapenda mserereko wa kutambalishiwa kambare unataka mwanamke wa kazi gan[emoji2]
 
Na miaka hii maisha yamekaza bado mtu unaota mapenzi 😒
 
Hao ni majini mahaba wanakujia kwa sura za hao unaowaheshimu, wakemee kwa imani yako.
 
Unapoota unafanya mapenzi na MTU ambae katika hali ya kawaida usingeweza kufanya hivyo hats kumtamani isingewezekana, tafsiri yake in hii:

1: Huyo unaemuota inawezekana ana tabia zinazofanana na mpenzi wako halisi.

2:unaweza hata ukaota umefanya mapenzi na mama yako mzazi, hasa inapotokea katika maisha halisi unampenda sana mama yako mzazi na mkeo pia unampenda sana na yapo mambo ambayo ulipokuwa mdogo mama yako alikufanyia na ulipooa mkeo nae pia anakufanyia, kwa mfano mama yako alikua anakudekeza sana na ukaoa mke anaekudekeza pia.
 

Ina maanisha huyo unayemuheshimu anakutamani bila wewe kujua hiyo ndoto ndio inakupa Siri hiyo. Mimi imewahi kunitokea, kwa mmama ana cheo kikubwa nikashangaa nimefikaje huku?.

Siku moja Kuna siku nikakutana na huyo mama tukasalimiana akanishika mkono na kuanza kunipapasa kama kimahaba, ndipo nikagundua. Ningekuwa mzinzi ningeanza mahusiano. Saa zingine ndoto Zina kualert kuhusu baadhi ya mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…