Jamani Husninyo anatafuta mchumba

Kila kitakacholiwa pale kwa sehemu kubwa kitazalishwa pale,samaki,kuku,bata,mbuzi wapo tayari,matunda ya pwani,mboga,miwa. Lengo ni kupata kitu natural ktk mazingira ambayo mlaji anayaona kwa macho, huku akila upepo wa mto uliopo hapo shambani.

kwani malila mmeshajenga na lodge/hotel au itakuwa ni sehemu ya kuja na kuondoka?
 
Husninyo umeshafunga ukurasa na sie tuliochelewa tujitose?
 
Last edited by a moderator:
Husninyo:Nina sifa zote aisee.Ngoja niingie "chimbo", nibahatishe na mimi.Pengine nikabahatisha kuibuka kidedea miongoni wa CV nyingi,who knows...?
 
Last edited by a moderator:

Mdoli wakati sie Tupo wenye kazi yetu.... When you need njoo PM nikupe Namba yangu uwe ukinicall naja... au Unakuja...
 
tuma cv yako ila usome vigezo kwa umakini hasa hicho cha kwanza.

Kwa heshima nawasilisha CV yangu

CV Mwanyasi
PERSONAL DETAILS:
NAME: MWANYASI DAVD
SEX: MALE
DATE OF BIRTH: 19981
MARITAL STATUS: SINGLE
NATIONALITY: TANZANIAN
CONTACT ADDRESS: P. O. Box 5095 TANZANIA
E-Mail:mwanyasi@jamiiforums.com

EDUCATIONAL BACKGROUND:

1988 – 1994 -Certificate in Primary Education at Southern Primary School
Tanzania

1995 – 1998 -Certificate of Ordinary Level Secondary Education at Katikati
Secondary School, Tanzania

1996 – 1998 -Certificate of Advance Level Secondary at North area
Secondary School, Tanzania

1999 – 2002 - BBA – Mkt at Eastern region of Tanzania


2007 – 2009 - MBA – Mkt @ PR in Western Europe

EMPOLOYMENT RECORD:

2003 – 2006 - Marketing Dpt at Vodacom TZ

2010 – to date - Managing Director at Mgodi wangu wa Dhabu in Lake zone


REFFEREES:


  1. Mr. Invisible
JF Moderator
Email: invisible@jamiiforums.com


  1. Mr. Maxcence
  2. JF Founder & Moderator
Email: maxcence@jamiiforums.com


  1. Mr. Dark City
Chairman JF TA Wing
Email: darkcity@jamiiforums.com

  1. Ms KING’asti
Dada yangu
Email: king’asti@jamiiforums.com

VIGEZO AS PER YOU


  1. asiwe na shida ndogo ndogo za kifedha, mwenyewe nna zangu.
Nina fedha za kutosha mara 200i ya Bishanga, nina mgodi na kisima cha mafuta kule Nigeria

  1. amzidi husninyo elimu, usiogope sana nina kidigrii tu cha hapa hapa ndani
Nina MBA ya UK

  1. anizidi kipato, usiogope sana, mkoloni wangu baba yake mchaga mama yake muhindi.
Majibu ya kigezo namba 1 yanafaa, nina Boeing 3 (private jet) VX V8 7, Hummer HR3 4, Helcpter 2

  1. anizidi urefu
Hata JWTZ walisema nafaa kuwa Mwanajeshi

  1. anizidi umri............. tafwadhali usiwe kibabu
Nina umri wa kutosha

  1. asiwe na pozi, mtoto wa kiume hutakiwi kuwa na mbwembwe
Nimeenda Jeshini kwa muda mfupi, sina pozi
 
Last edited by a moderator:
kwani malila mmeshajenga na lodge/hotel au itakuwa ni sehemu ya kuja na kuondoka?

Bado, ila matarajio tuwe na vyumba vichache huko baadae vya kulala, yaani tuwe na farm lodge ndogo. Kwa sasa tuko bze na wanyama kwanza.
 
hivi Husninyo amepata mchumba tayari?
 
Last edited by a moderator:
ningeomba ila nawanwasi na G.P.A yako huenda ikawa ipi chin ya 4.0, mi nilishajiwekea msimamo wang kuwa sioi mwanamke mwenye wastan wa hiyo G.P.A naogopa product zang (watoto wasijekuwa vilaza. Mi nina 4.6 from UDSM.
Swali la pili vip uwezo wa familia yenu ,kuna aliyewahi kumiliki vogue/hummer..hii ni kuanzia kwa mjomba na shngzi inclsive.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…