Jamani Husninyo anatafuta mchumba

Jamani Husninyo anatafuta mchumba

Hahhahhahaha Husninyo baridi limekuchosha au usiku wa manane si unajua mwili huchemkaa halafu full kuhangaika unaishia kujishika na mikono tu
Pm leo itajaaje wewe tenaa,ukmpata ntaarifu shoga waweza mbahatisha Bakhresa humu ndio hapo ntakukumbusha ulisema "asiwe babu"
nipe kizizi chako mtoto wa kiarabu fursa ikamatike chap chap. nimechokaje shogangu. hadi usiku nauona mrefu. lol
 
Huyo hapo:
eb4c0246fe6a52f81c2854711e4abd71.jpg

nimeshangaa sana leo hujasema hayatuhusu. lol, halafu hii thread ikihamishwa jukwaa la wakubwa hatautoelewana ujue.
 
nipe kizizi chako mtoto wa kiarabu fursa ikamatike chap chap. nimechokaje shogangu. hadi usiku nauona mrefu. lol


Hahahhahha ogea mfedha mfedha changanya na sukari mbona utawakimbiza humu na huko nje,!
 
Back
Top Bottom