Jamani Husninyo anatafuta mchumba

Jamani Husninyo anatafuta mchumba

mama hapa umefika, sifa zote ninazo, nami nimekuwa mpweke siku nyingi nazani tutaendana ngoja ni ku pm

karibu sana konar ila usije kula kona ukaniacha kwenye mataa mwenzio.
 
Last edited by a moderator:
Ngoja niingie PM nisije kosa expert bure....Unikonside tafadhali

wewe tuma cv yako kwa lawyer wangu EMT moja kwa moja maana nshaona una makelele sana. lol
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
Husninyo unakubali kua mke wa tatu? Naweza kuongea na wife sasaivi
 
Last edited by a moderator:
b753c18eec1e1848c944c5bb382ab44d.jpg

Hii Dunia haina Huruma
 
shosti....nipo hapa kuandaa bridal shower........
ila kuwa makini.....kuna mabazazi humu.....ukiona mtu humuelewi nisogezee.....nikushushie CV.....:smile-big:

Wewe unataka kuharibu dili sasa.....hutaki watu tulambe dreadwoman nini? Kuwa makini kuna makauzu hata masterling wanatulizwa chezeiya!!
 
shosti....nipo hapa kuandaa bridal shower........
ila kuwa makini.....kuna mabazazi humu.....ukiona mtu humuelewi nisogezee.....nikushushie CV.....:smile-big:
Hebu muulize huyo Husninyo kama sisi wavuvi tunaweza kuchukua hiyo ngoma!.Nina ka-digrii ka uvuvi wa samaki, wa maji baridi!.
 
Last edited by a moderator:
Husninyo baba paroko ana taarifa ya hili hitaji lako...?nakutakia mchakato mwema mwaya
 
Last edited by a moderator:
Wewe Husninyo, wewe...

Kwa nini hukumwomba Babu akusaidie??

Tatizo lenu nyie watoto wa dotcom mmejichukulia majukumu yasiyokuwa yenu!
 
Last edited by a moderator:
Amechokaje kukumbatia midoli!!
hebu kamata fursa chap chap, nani kasema senior expert members wote tunamilikiwa!

sifa za anaetafutwa

1. asiwe na shida ndogo ndogo za kifedha, mwenyewe nna zangu.
2 amzidi husninyo elimu, usiogope sana nina kidigrii tu cha hapa hapa ndani
3. anizidi kipato, usiogope sana, mkoloni wangu baba yake mchaga mama yake muhindi.
4. anizidi urefu
5. anizidi umri............. tafwadhali usiwe kibabu
6 asiwe na pozi, mtoto wa kiume hutakiwi kuwa na mbwembwe

Maombi yako yaambatane na maelezo ya kujitosheleza, kucheki afya muhimu. nipo serious msilete utani. uwiiiiii usingle girl unaniua.

Legeza masharti hapo kwenye urefu!
 
Used mwenye sifa hizo unapokea maombi yake?
 
Back
Top Bottom