Jamani huu ni ugonjwa gan na dawa zake ni zipi?

Unasahau ile sindano inavyochomwa na maumivu yale makali?

Kweli ile kitu imewekwa pabaya 🤣
Ile sindano hawakuchomi mara kwa mara. Khaaa basi ningekua nishakata moto...

Weee kwanza ujue ile siku nilitaka kulia kabisa sema dactar yule alikua wa jeshi hvo akawa ananipa maneno ya kichoma nikajiona nikilia takua wa kike aiseee ilaaaa yale mauvu utafikili kuna misumari inapita ndani au mtu anakubandua ngozi
 
Naijua 😂😂
 
Back
Top Bottom