Jamani huu ni ugonjwa gan na dawa zake ni zipi?

Jamani huu ni ugonjwa gan na dawa zake ni zipi?

IMG-20240822-WA0006.jpg
 
pole sana,hii ni genital herpes,huu ugonjwa hauna dawa HOSPITAL,sanasana ni dawa za kuondoa hizo dalili tu,utaishi nao hadi ukifa.

Huu ugonjwa una dawa za mitishamba au tiba mbadala,uhakika wa kupona upo kwa upande huo;

pole sana.
Nimewahi kumuona muhanga wa ugonjwa huu,unatisha sana,na hospital za tanzania hawaujui.

dalili za kwanza,mkojo ulikuwa unatoka kawaida au njia iliziba?


We Una taaluma ya udaktari ? Au unajiongelea tu
 
sema wadada wanajielewa sana huwezi kuta mdada amepost kifanyio chake humu

huyu ni mwanaume kama wa tatu hivi nakuta anapost kifanyio chake

si uende hospitali tu hili jukwaa halina maana zaidi ya kudanganyana mambo ya mitishamba tu
sio wanajielewa hawawezi post sababu kifanyio chao kina sura mbaya sana kinaweza sababisha Jf ikajilock automatically isipatikane hewani.
 
Back
Top Bottom