Jamani huu ni ugonjwa gan na dawa zake ni zipi?

Jamani huu ni ugonjwa gan na dawa zake ni zipi?

Nasikia huyu ni demu wako
FB_IMG_1722869048123_1.jpg
 
Kwamba hautibiki uko sahihi. Virus hivyo haviondoleki kwa sasa unaweza ondoa dalili kama vipele. Ila virus bado utakua navyo, hivyo hiyo hali hujirudia rudia mara kwa mara.
that's means kama virusi haviondoki mwilini, anakua na uwezo wa kumuambukiza mtu mwingine sio?

Hii ni mbaya sana, Ukute nae aliambukiza kwa aina hyo ya binti alie zani katibiwa kapona, kumbe bado anavo ndani.

Tuongeze umakini wazee wa mbususu 🤣
 
Back
Top Bottom