King Nkondo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2023
- 1,399
- 2,110
Hao ni mites wanaitwa scabies, dawa Yao ni scaboma lotion utumie wiki nzima family yote na nguo na mashuka yafuliwe yote, lasivyo ukitibu Ngozi unajiambukiza Tena kupitia nguo zakoKUNA KADOGO KETU KANATESEKA NA HII SIJUI N KANIN na dawa yake kanapona kanamrudia