KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
itakuwa huo ni mgongo!Hio ni sehemu gani ya mwili?
Na tatizo lilianzaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
itakuwa huo ni mgongo!Hio ni sehemu gani ya mwili?
Na tatizo lilianzaje?
Kuna maneno huishia na ...Rajiuun!
Nikiwaambia kinga ni muhimu wao husema pipi hailiwi na maganda yake, matokeo yake ni haya.Vijana wawe Makini, Dunia sasa imeharibika usimuamini mtu, watembee na mpira hata kwenye wallet wa Emergency. Unakuta kadada kenyewe ka elfu 2000 na dalili hazijaanza kuonekana na unajaa hapo, matokeo yake ndo haya.
Ulisha umwaga au kuwadunga wateja wako tu. Hivyo kama ni kudunga huyajui maumivu yake nadhani.Naijua 😂😂
Namhurumia sana mleta mada kwa hizi komenti za wadau, kama hana uvumilivu anaweza pata presha na kisukari au vyote kwa pamoja 😂
Moliscum
MOLUSCUM CONTANGIOSUM hiyo
Mh! DaktariUgonjwa wa nyanii huu,
Tiba yake, oga maji ya uvugu uvugu, tumia sabuni iliyotengenezwa kwa mitishambaaa, inaitwaa Malumalu.
Hospital utachelewa kupona, nendaa kwa tiba za asili.
Seriously.
Labda.....Mpox
Na haya ni maelekezo ya liganga likuu.😂Ugonjwa wa nyanii huu,
Tiba yake, oga maji ya uvugu uvugu, tumia sabuni iliyotengenezwa kwa mitishambaaa, inaitwaa Malumalu.
Hospital utachelewa kupona, nendaa kwa tiba za asili.
Seriously.
Niko hapaa MD.Mh! Daktari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na haya ni maelekezo ya liganga likuu.[emoji23]
Yenyeweee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hio ni mboooo au nimeona vibaya....?