Jamani huu Wimbo wa Taifa wa Zambia mmeulewa yaani kama wetu 🇹🇿

Jamani huu Wimbo wa Taifa wa Zambia mmeulewa yaani kama wetu 🇹🇿

Nipen matokeo zambia vs congo ngap huko mana nikagonile valongo vangu?
 
Jaman nimesikiliza wimbo wa Zambia mda huu sijaulewa kabisa yaan copy n paste na wa kwetu.

Nyerere shikamoo popote ulipo

Jana tumesikia wa South Africa mmh nao sijauelewa hope waliruhusiwa ku paste
kwa taarifa yako,sisi huo wimbo tuliuchukua kutoka wimbo wa anc ya afrika ya kusini,nkosi sikelela ambao ulitungwa miaka ya 1930 huko
 
Mngekuwa wajanja mngekuwa na wimbo mwingine.

Heshima sana kwako Mheshimiwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (Mtakatifu )

Endelea kupumzika huko Mbinguni.
 
Ila wetu mrefu sana.Ningekuwa na maamuzi ningefuta beti ya kwanza ibaki ya " Mungu ibariki Tanzania tu"..
 
Mwenzako Dua Said mchezaji wa Makolo kwa wakati huo, alikua kwenye kikosi cha Taifa Stars kilichokua kinacheza na timu ya Taifa ya Zambia (KK BOYS/ KK ELEVEN), kabla ya mchezo kuanza, ulianza kupigwa wimbo wa Taifa wa Zambia ile kuisha akaanza kuruka ruka na kupiga makofi akishangilia akidhani ni wimbo wa Tanzania.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jaman nimesikiliza wimbo wa Zambia mda huu sijaulewa kabisa yaan copy n paste na wa kwetu. Nyerere shikamoo popote ulipo.
Jana tumesikia wa South Africa mmh nao sijauelewa hope waliruhusiwa ku paste
Ni aibu kwa mtu aliyejiunga JF tangu mwaka 2007 hadi juzi ndio anajua nyimbo za SA, Zambia na Tanzania zinafanana hasa mwanzo. Ni aibu zaidi kwa mtu huyo kuamini kwamba hao wengine ndio walioiga wimbo wetu.

1705554727332.png
 
View attachment 2875106
Kweli we kicheche
M nyimbo za South sijui zambia ulitaka nizijue zikupe ada??
 
Kweli we kicheche
M nyimbo za South sijui zambia ulitaka nizijue zikupe ada??
Kwa hiyo kama hukuzijua na ulikuwa huna haja ya kuzijua, imekuwaje ukimbilie kusema Nyerere ndio alizianzisha na hao wengine wakaziiga? Hapo airport unaposhinda hukuwahi hata kusikia mechi ya mataifa hayo walau kwenye redio za madereva taxi wenzio?
 
Kwa hiyo kama hukuzijua na ulikuwa huna haja ya kuzijua, imekuwaje ukimbilie kusema Nyerere ndio alizianzisha na hao wengine wakaziiga? Hapo airport unaposhinda hukuwahi hata kusikia mechi ya mataifa hayo walau kwenye redio za madereva tax wenzio?
We bwege nani anapanda tax unahisi wote tunapanda tax hahahaaa i 🇬🇧 😀 😄 😉 👍 😎 🇬🇧 😀 😄
 
We bwege nani anapanda tax unahisi wote tunapanda tax hahahaaa i 🇬🇧 😀 😄 😉 👍 😎 🇬🇧 😀 😄
Sio kupanda, kuendesha. Wewe ni dereva taxi hapo airport, nipo JF tangu 2009 na stori zako zilikuwa ni za JNIA tangu nyakati zile, ingawa tulikuwa tunapata shida kukuelewa kutokana na maandishi yako
 
kwa taarifa yako,sisi huo wimbo tuliuchukua kutoka wimbo wa anc ya afrika ya kusini,nkosi sikelela ambao ulitungwa miaka ya 1930 huko
Siyo kweli huu wimbo haukutungwa mwaka 1930!
Huu wimbo(melody) ilitungwa mwaka 1897, ANC waliiuimba Kwa mara ya kwanza kwenye mkutano wao wa kwanza mwaka 1912.
Kuanzia mwaka 1925 ndipo ANC wakauchagua kuwa wimbo rasmi wa taifa la S.A ambao unatumika Hadi Leo!
Uelewe pia huu wimbo ulitungwa Kama wimbo Kwa ajili ya kuimbwa kanisani, na mara ya kwanza kuimbwa kanisani ilikuwa mwaka 1899!
 
Wewe kiazi KWELI.
Unasema wimbo wa Zambia unafanana na wa Tanzania WAKATI Tanzania yenyewe iliiba wimbo huo kutoka south Africa.
 
Back
Top Bottom