begi la pesa
JF-Expert Member
- Apr 11, 2019
- 1,124
- 1,946
Mtunzi wa wimbo ni mmoja sema yalibadilishwa maneno tu,!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa taarifa yako,sisi huo wimbo tuliuchukua kutoka wimbo wa anc ya afrika ya kusini,nkosi sikelela ambao ulitungwa miaka ya 1930 hukoJaman nimesikiliza wimbo wa Zambia mda huu sijaulewa kabisa yaan copy n paste na wa kwetu.
Nyerere shikamoo popote ulipo
Jana tumesikia wa South Africa mmh nao sijauelewa hope waliruhusiwa ku paste
sauz ndio walianza waoSikiliza wa South Africa ni huo huo wetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watoto mara watakuuliza, " kwani huyo kakae Nape goli la mkono alikua mwanamuziki wa bendi gani?"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwenzako Dua Said mchezaji wa Makolo kwa wakati huo, alikua kwenye kikosi cha Taifa Stars kilichokua kinacheza na timu ya Taifa ya Zambia (KK BOYS/ KK ELEVEN), kabla ya mchezo kuanza, ulianza kupigwa wimbo wa Taifa wa Zambia ile kuisha akaanza kuruka ruka na kupiga makofi akishangilia akidhani ni wimbo wa Tanzania.
Ongeza na Misri mkuu.Ni huo huo! Tanzania, Zambia, Zimbabwe na South Africa wimbo ni Moja katika lugha tofauti
Ni aibu kwa mtu aliyejiunga JF tangu mwaka 2007 hadi juzi ndio anajua nyimbo za SA, Zambia na Tanzania zinafanana hasa mwanzo. Ni aibu zaidi kwa mtu huyo kuamini kwamba hao wengine ndio walioiga wimbo wetu.Jaman nimesikiliza wimbo wa Zambia mda huu sijaulewa kabisa yaan copy n paste na wa kwetu. Nyerere shikamoo popote ulipo.
Jana tumesikia wa South Africa mmh nao sijauelewa hope waliruhusiwa ku paste
Kweli we kichecheNi aibu kwa mtu aliyejiunga JF tangu mwaka 2007 hadi juzi ndio anajua nyimbo za SA, Zambia na Tanzania zinafanana hasa mwanzo. Ni aibu zaidi kwa mtu huyo kuamini kwamba hao wengine ndio walioiga wimbo wetu.
View attachment 2875106
Kwa hiyo kama hukuzijua na ulikuwa huna haja ya kuzijua, imekuwaje ukimbilie kusema Nyerere ndio alizianzisha na hao wengine wakaziiga? Hapo airport unaposhinda hukuwahi hata kusikia mechi ya mataifa hayo walau kwenye redio za madereva taxi wenzio?Kweli we kicheche
M nyimbo za South sijui zambia ulitaka nizijue zikupe ada??
We bwege nani anapanda tax unahisi wote tunapanda tax hahahaaa i 🇬🇧 😀 😄 😉 👍 😎 🇬🇧 😀 😄Kwa hiyo kama hukuzijua na ulikuwa huna haja ya kuzijua, imekuwaje ukimbilie kusema Nyerere ndio alizianzisha na hao wengine wakaziiga? Hapo airport unaposhinda hukuwahi hata kusikia mechi ya mataifa hayo walau kwenye redio za madereva tax wenzio?
Sio kupanda, kuendesha. Wewe ni dereva taxi hapo airport, nipo JF tangu 2009 na stori zako zilikuwa ni za JNIA tangu nyakati zile, ingawa tulikuwa tunapata shida kukuelewa kutokana na maandishi yakoWe bwege nani anapanda tax unahisi wote tunapanda tax hahahaaa i 🇬🇧 😀 😄 😉 👍 😎 🇬🇧 😀 😄
Siyo kweli huu wimbo haukutungwa mwaka 1930!kwa taarifa yako,sisi huo wimbo tuliuchukua kutoka wimbo wa anc ya afrika ya kusini,nkosi sikelela ambao ulitungwa miaka ya 1930 huko
Kumbe na Misri! Sikujua, shukran Kwa taarifaOngeza na Misri mkuu.