Jamani huyu dada anaitwa Chidinma nampenda kuliko maelezo

Jamani kama kuna mtu anae jua njia za ku mpata huyu dada anisaidie.
Mana kama sifa zote ninazo za kuwa nae.
Naweza honga hata pesa ya kupiga nae picha tu kama hatonipenda.
Obsession
bro unahitaji kutibiwa
 
Mtafute Joh Makini hapo Chuga akupe mchongo mzima mkuu
 
Jamani kama kuna mtu anae jua njia za ku mpata huyu dada anisaidie.
Mana kama sifa zote ninazo za kuwa nae.
Naweza honga hata pesa ya kupiga nae picha tu kama hatonipenda.
Ana kawimbo kanaitwa Kedke huwa kananikosha sana
 
Mbona sura yake imechoka halafu ametepeta sana. Mi simtaman hata kidogo
 
Kana tuswaga fulani twa kibinti binti. Yani mi nikikaonaga tu huwa nasisimka,hadi nakaonea aibu wakati kapo kwenye tv. Katakuwa kachawi haka siyo bure!
 
Yaani hapa nimeanza kusoma mpaka kiibo na kiyoruba ili kwenye msako wangu asipate pa kutokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…